Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Hao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabiaโ€ฆNa hapo kinachokuuma ile โ€œImechomoka halafu anairudishiaโ€ ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia ๐Ÿ˜œ
Pia namna au style kinavyohondomorwa kisusio na muhuni tu "Good Guy" si "Nice Guy" akisifia na akipiga piga mawowowo kwa maneno ya dhihaka "mtukane Mumeo, Ke naye kwa mihemuko ya kimahaba anamtukana "Lile ngosha lishamba sana halijui kumkuna kiufundi na kiba100 chake kama Mchepuko wake" ๐Ÿ˜

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Unalia nini sasa mwanaumee eeeh??

mkiambiwa kataa ndoa ni utapeli hamtaki

KAZA
 
Hiyo tabia uliyonisingizia nayo si nzuri na wala siwezi kuifurahia, nina tabia zangu mbaya ambazo ukiniadress nazo nitafurahia.

Kama hiyo ya kinyongo ni tabia yangu kabisa. ๐Ÿ˜€

Wasaalamu classmate, workmate, tribemate, streetmate.
 
Naomba unisamehe maana sikuwa na dhamira jinsi unayonidhania, hata hivyo nashukuru umestaarabika maana kitendo cha kuninukuu na kunijibu tayari kinaonesha jinsi gani ulivyo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mwanangu usiwe nice man kwa mwanamke utalizwa Sanaa..
Mwanangu Linda Sana afya yako ya akili mwanamke utaachana nae lakini wewe ukiwa mgonjwa wa akili Mambo yako yatafeli..
Fanya ufanyalo kuwa na backup na ikiwezekana ajue kuwa nawe una mtu...
 
Punguza kelele, kabla hujaingia huko jitafakari mienendo yako, lakini pia mtafakari mtu wako
 
Ndoa ni ngumu ukioa pagumu...
 
Mkuu wewe acha tu ndo maana tunakufa mapema sababu ya maumivu hata pakusema hakuna unaugulia ndani kwa ndani yaani acha tu ni mateso makali sana, unajikuta unapoteza amani na furaha ya maisha kisa ndoa mauaji hayataisha kwenye ndoa tena tunapoelekea ndo yatazidi.
Uu
 
Hao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabiaโ€ฆNa hapo kinachokuuma ile โ€œImechomoka halafu anairudishiaโ€ ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia ๐Ÿ˜œ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ watu wamekuwa na ubinafsi sana, kwani ikichomoka afu mkeo/demu wako akairudishia kuna shida gan? Haya mambo mnayakuza sana kwenye akili zenu ndo maana yanawatesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ