Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu


Shukrani Kaka! Hawa viumbe? They are always looking for what is missing! It is very difficult to be a Man, haswa ukiwa mwaminifu, mtulivu na unayejali, lakini ukiwa player na muhuni mambo sio magumu!
 
Shukrani Kaka! Hawa viumbe? They are always looking for what is missing! It is very difficult to be a Man, haswa ukiwa mwaminifu, mtulivu na unayejali, lakini ukiwa player na muhuni mambo sio magumu!
Hakika na sawa na kusema hawajui wanachotaka!
 
Asante kwa ushauri....kwa sie ambao tulikuwa back benchers naona akili za kuishi na mwanamke sina. Wacha nibakie single
 
Usikubali hata siku moja binadamu mwenzako akunyime furaha kwa makusudi. Kuna shida kama ugonjwa na kipato duni, hayo unavumilia lakini sio ujinga ujinga.
Ukiona ndoa inakupa mateso, muache aende. Hamkuzaliwa naye, pia kuna maisha zaidi ya ndoa.
 
Hao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabia…Na hapo kinachokuuma ile β€œImechomoka halafu anairudishia” 😹😹😹

Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia 😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila Lamomy Hii Dunia ndogo jamani ww ndo wakutoa Pepo ya Dunia kwa ndugu yetu
 
Point makini ,baadhi wajinga yakiwashinda wanapotosha vijana eti Pesa
 
Kama analiwa nje achana nayeye mkuu. Usije kufa mapema
 
Uko x Hukoβœ“
 
Ile n ibada mkuu kama ibada zingine
Hakuna jinsi
Na kama ndio sini yetu ukiingia wewee utajuta lakn ukiizoea unaenda nayoooo

Ile hakuna tofauti na wanaobet mkuu ama ule ama uliweeeee
 
 
Swala la ndoa serikali iingilie kati.
Kuna kitabu kimoja ameandika jamaa mmoja mkenya anaitwa Silas Nyanchwani.

Asee vijana nawashauri kabla ya kuoa someni kitabu cha huyu jirani yetu mkenya.

Huyu jamaa ni kichwa sana halafu anayoandika kuhusu ndoa ni ukweli 100%

Mfano kuna research inasema, ndoa yoyote iliyofungwa na wanandoa waliokutana kimjini mjini(mf chuo) au wanandoa wenye kipato sawa, uwezekano wa kuvunjika kwa ndoa hiyo ni mkubwa sana.

Jamaa kaeleza mengi sana.

Huyu hapa msikilizeni.


View: https://youtu.be/4XWp2vrmRSY?si=uHf2z3S6mpcTqFTL
 
Mwanangu usiwe nice man kwa mwanamke utalizwa Sanaa..
Mwanangu Linda Sana afya yako ya akili mwanamke utaachana nae lakini wewe ukiwa mgonjwa wa akili Mambo yako yatafeli..
Fanya ufanyalo kuwa na backup na ikiwezekana ajue kuwa nawe una mtu...
Ndio maana nawashauri watu wajipende wenyewe kwanza. Ukijipenda hutaruhusu kiumbe chochote kukupa stress za kijinga. Tunaishi mara moja, ni lazima kulinda afya ya mwili na akili.
 
Unapotafuta mtu wa kuishi nae, Lazima uangalie kitu kinaitwa "Values".

Hivi ni vitu ambavyo huwezi mfundisha mtu, Hivyo ni vema ukachagua mtu ambae yuko na values zinazo kufaa.

Kupika, kufua, Kulea watoto kukatika sijui kitandani hivi ni vitu ambavyo mtu anaweza kujifunza.

Mfano: Kuna demu nilishawai kua nae, alikua good tu kwa kiasi flani, ila alishazoea mambo ya kwa mparange na mm sio njia zangu hizo, Ikabidi nimuwekee kikwazo tu tusiende popote lkn tayari values zake ziko chini sana kulingana na zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…