Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

1 Corinthians 7:27-28 New Century Version (NCV)

"If you are not married, do not try to find a wife. But if you decide to marry, you have not sinned. And if a girl who has never married decides to marry, she has not sinned. But those who marry will have trouble in this life, and I want you to be free from trouble".
 

kwisha habari YAKO
 
😀😀😀😀Pole sana mkuu ila kuna tatizo ambalo wengi wetu tunalifanya halafu tunasingizia ndoa
 
Nyie vipi!

Mbona me na enjoy fresh tu yaani! Tena muda mwingine nahisi km sipo dunian ni kama Niko Pepo nyingine kabisa.

Kosea vitu vingine but usikosee kuchagua mke/mume. Ukikosea Utakoma na utajuta maisha Yako yoote.

So Be carefuly
 
📌📌📌
 
Nakazia
 
Nipo upande wako hakuna kuamini mwanamke bora uwe kwenye upande wa kutokuamini angalau utakuwa sehemu sahihi.
 
Wanakuaga wakali hao wakichitiwa ukute anaechiti kaleta malaya kwenye chumba na kitanda cha mkewe..nilishuhudia jamaa kamsend off mkewe kwao akajifungue madai yake hawezi hudumia mwanamke aliyejifungu kumbe anamishe yake na mchepuko vile kaondoka tu kamleta ndani kimada kwenye kitanda cha mkewe..huyo akichitiwa na yeye ataona kaonewa
 
Kabisa mkuu wanawake wanaonekana wakora ila kuna wanaumee baadhi wanakero sana aisee..mtu kaoa mke anamuheshimu vizuri tu anamunzishia visa kisa ni mwanamke asiongee na asitoe kero zake..ndoa ni changamoto mno sio kidogo
Ndoa moja ilisambaratika baada ya mume kubase sana kusaidia ndugu zake na kusahau mkewe mke analalamika hajawahi mpa pesa ya matumizi yake binafsi kama mwanamke ila anagawa mitaji kwa watu baki kama pipi..kuwatoa watu kijiji na kuwapangia nyumba ni jambo la kawaida mda huo watoto hata nguo hawana kamfungilia biashara mkewe wale ndugu wa mume wanaenda kuchukua bidhaa na pesa bila ruhusa ya mke ambae ndie aliyefunguliwa duka..achilia mbali kero za hapa na pale wakashindwana
 
Kwisha mdogo wangu sio ndoa zote zina changamoto na sio kila alie single ana furahia maisha.! Changamoto zipo hata ukiwa single. Mke akichepuka na ukigundua ukweli wa kugundua sio maneno ya watu wanaotaka kuwafitinisha basi mke huo muache mara moja Acha kumletea huruma za kusamehe mana ipo siku atakuja kukupa matatizo ya moyo

Nasema mke akichepuka muache mara moja wala usimuangalie usoni wala huruma isiwepo vinginevyo utakuja kujidhuru mwenyewe

Kingine vijana acheni tamaa za kutaka wanawake wenye mionekano ya Instagram.

Unaoa vip mwanamke umempokonya boda boda eti kisa ww una vihela ukadhani atakuja kutulia kwako.

Wanawake wema bado wapo tena wengi sana
Anza upya kijana Acha kulalamika mtandaoni
 
Shukrani Kaka! Hawa viumbe? They are always looking for what is missing! It is very difficult to be a Man, haswa ukiwa mwaminifu, mtulivu na unayejali, lakini ukiwa player na muhuni mambo sio magumu!
Ulichagua mke wa namna gani?? Kumbuka si kila mwenye jinsia ya kike anx fit kuwa mke ndo maana ulitakiwa uwe makini, wengine ukisema ndoa ngumu wanakushangaa
 
Mi nachekaga tuuu
 
Jina la kitabu ni lipi na kinapatikana wapi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umekaa kwenye ndoa miaka mingapi mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…