Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana


Kinachototautisha Wanawake wa kizaz hiki na mabibi na Mamama Zetu ni Tabia.

Mwanamke wa sasa . Ukimcheat, nae atalipiza. Kama ni mke. Akijua umechepuka wiki hii . Bas na yeye atachepuka wiki ijayo.

Akijua kuna mwanamke unamtunza nje. Basi na yeye atatafuta danga ili atunzwe.
Ukimyima faraja, penzi, nk bas na yeye atatafuta nje ya ndoa.

bado naamini ni ngumu sana. Mnapendana na ww kama mwanaume ukatimiza majukumu na matarajio yake aliyoweka kwako kama mwanaume na mume wake alaf na bado akacheat.
 
Wengi wanaolewa huku kimwili lakini kihisia wanakuwa kwingine!
 
Wapi nimesema ndoa zote ziko hivyo?
Nimesoma btn the lines.
  • Watu weng wanakaa kwenye ndoa na hakuna mapenzi.
  • wanawake % kubwa wanakupendea vitu unavyomiliki.

ni kama % imezidi uwiano.

Ndoa nying haziko hivi.
Ukiangalia ndoa kwa negativity utaona nying zinavunjika.
Ila hebu siku angalia pia upande wa pili. Ni nyumba ngap zimesimama na ndoa imara.
Hebu hapo unapokaa. Angalia majiran. Hesabu 10 . Angalia ndoa ngap zimevunjika.
Angalia ndugu kaka dada zako. Hesabu walioolewa 10. Alaf hesabu wangap ndoa zimevunjika.

% utakayopata. Ndio Inalandana na uhalisia.
 
Leo sina mood ya kuandika nimechoka kinoma next time tutabonga
 
Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Kumbuka ndio walioanzisha kitanda hakizai haramu.
Yalikuwepo ila waliheshimu sana ndoa za majamaa zao,hawakuwa waropokaji kama hivi,kujisifu kama hivi…

Wamama wa zamani walikuwa na siri,wa sasa wanajitukuza kuzaa nje ya ndoa kama kumkomoa mume ndani.

Yaan kiufupi mahusiano sikuhizi ni very 🚮
 
Mwanaume uoa mwanamke ansempenda lkn mwanamke uolewa na mwanaume alietayari hasa kama huyo mwanaume anajiweza.
 
Mwanamke mmoja ndiyo anafanya uhitimishe hivyo!?
 
Mambo hayo hayajaanza Leo, ni sasa hivi Tu watu wanayakuz lakini yapo kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…