Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

duuh, inasikitisha sana,.....
uaminifu kwenye ndoa unaporomoka kila leo !
 
Mkuu case kama yako nimekutana nazo sana tena kwangu binafsi hadi unaogopa zaidi ya wake za watu 4 wananiambia maneno kama hayo.

Na hata jana kuna jamaa yangu mmoja tumetoka tunalizungumzia hili.

Huyo jamaa yngu akaniambia Yeye hadi Lodge analipiwa na huyo Mke wa Mtu...(Sio kwamba jamaa hana uwezo ila ni mwanamke ndo anaforce mchezo).
 
Sema hivi umekutana na Malaya mwenye ndoa!
Acha kujitoa ufahamu na Kutafuta umaarufu, sijawahi tongoza mke wa mtu akanikataa.

Ndoa ni janga la kitaifa,Kuna wale wanaingia kwenye ndoa baada ya muda anarudi kuwasiliana na X wake na kuahidiana mambo mengi

Mimi sioni tatizo eidha kwa mwanamke au mwanamume, kutokuwa waaminifu kwenye ndoa, ukichukua wanawake 10 walioolewa,na utafute waaminifu, ukipata sana ni Mmoja ndo anaweza kuwa mwaminifu out of 10


Mwanamke ataweza vipi kuwa nwaminifu ikiwa ana maX 60, dheni anakuja kuolewa kwa kuwa hakuna namna ,ila kati ya maX60 Kuna wamba wawili aliwakubali zaidi,unadhani siku wakikutana hawezi kukito*mbesh?

Nadhani ni mwanamume aliyeoa mke bikira pekee ndo anaweza kuwa na uhakika kuwa mke wake hacheati angalau kwa 67% ila wewe kama uliolewa ukiwa huna bikra huwezi niambia kitu Mimi,ni malay*"* kama Malaya wengine.
 
Bongo maslaughter ni kifungo cha maisha
Murder ni kifo
Any person who commits the felony of manslaughter is liable to imprisonment for life.

Sasa hapo kwenye liable ndio Judge na team yake ya juries itategemea wamevuta nini siku iyo.
 
Kama hujawahi kuitwa moja kwa moja, basi tambua hapo kaburi linakuita moja kwa moja bila chenga chenga
 
Kuwa makini muda sio mrefu utapigwa msipa ..ohhooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…