Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Inasikitisha wanaume wazima wanaeneza hofu ya ndoa kwa vijana kwasababu ya pesa?Umenena vyema, wanaume wapunguze uoga waje tujenge maisha bwana 😈
Haya maneno hayakuanza leo,ndio maana hata wewe ulioa licha ya kuyasikia hayo mambo,changamoto zako sio za kila mtuMimi kama mwanandoa ninayeishi kwenye ndoa nawaambieni ndoa ndoano....
Msikurupukie ndoa mtapotea
Kisaikolojia iko hivi ukiamini ndoa zinavunjika kiholela basi tarajia hata yako itavunjika kwasababu una mtazamo hasi juu ya ndoa,kumbuka aliwazalo mjinga humtokeaNdoa za karne hii inampa mwanaume limited Upside lakini unlimited downside endapo itavunjika.
Kifalsafa, ni upumbavu kuwekeza asilimia 100 ya nguvu zako kwenye mfumo ambao una nafasi ya zaidi ya 50% kufeli kulingana na takwimu za talaka duniani.
pole sana kwa changamoto,chagueni kwa vigezo vya maadili na utu na imani,sio makalioNdoa chungu kiasi cha kujifariji kwa kujidanganya?
Je ndoa ni biashara mpaka useme you can't risk money in this business?Number don't lie sisi wafanyabiashara tunaongozwa na namba .
Rate ya divorce ni kubwa sana , so you can't risk ur money and time katika biashara ambayo haina faida.
Kwa upande WA pili kwa nchi Masikini kama Za Africa most women hawatafuti ndoa ila wanatafuta senseless donkey ambaye atavumilia drama zao na kuwalipia bills.
Moja ya Taasisi ya Kijinga inayoua future za wanaume ni ndoa .
Bado sio tu ndoa ila nchi zetu zina watu ambao ni uncivilized and selfish ambao they don't care about love but interest zao.
Waka wsngekuta kila mmoja anajitemea! Washaurini wadogo zenu,wameingiwa na hofu kubwa mno!Inasikitisha wanaume wazima wanaeneza hofu ya ndoa kwa vijana kwasababu ya pesa?
Kama baba zao wangewaza kama wao,je wao, wangewakuta wazazi wawili wako pamoja?
Kwa Sasa ndoa ni biashara .Je ndoa ni biashara mpaka useme you can't risk money in this business?
Basi bora huu ujinga wangebaki nao wenyewe,nasikitika wanautawanya kwa vijana ambao huenda wakaamini hizi nadharia zaoWaka wsngekuta kila mmoja anajitemea! Washaurini wadogo zenu,wameingiwa na hofu kubwa mno!
Biashara labda kwa nyinyi ambao mnafedha,ambao mnaogopa kupoteza hela kwa hofu zenu,wenye kipato cha kawaida hawana huo msamiatiKwa Sasa ndoa ni biashara .
Kama umeoa zamani kidogo ur very luckiest guy .
Ila kwa Sasa ndoa imepoteza uhalisia wake imekuwa monetized is about money and ur stuffs not genuine love.
Basi kigezo ulichotumia sio sahihi,kama uliangalia uzuri ilaumu nafsi yakoVile mkeo akiongea na wanaume walio kuzidi pesa
View attachment 3571459
Kama bado utakuwa unaamini kuwa upendo pekee utakulinda bila kuangalia uhalisia wa kisheria na silika yaKisaikolojia iko hivi ukiamini ndoa zinavunjika kiholela basi tarajia hata yako itavunjika kwasababu una mtazamo hasi juu ya ndoa,kumbuka aliwazalo mjinga humtokea
As I told you - mambo hayapo the same na wazazi wetu .Biashara labda kwa nyinyi ambao mnafedha,ambao mnaogopa kupoteza hela kwa hofu zenu,wenye kipato cha kawaida hawana huo msamiati