Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Bahati mbaya sana wengi wenu mmeingia kwenye mtego wa watu wachache ambao walipata changamoto za ndoa zao,sasa nyote mmepata hofu ambayo haipo

Kibaya zaidi kila mkiingia mitandaoni mnakutana na nyuzi za watu ambao wanaongea swala hilo hilo,mnafikiri mtakuwa salama? Lazima muathirike kwa ujinga wa watu wachache
 
Basi kigezo ulichotumia sio sahihi,kama uliangalia uzuri ilaumu nafsi yako
😁😁😁 Kila mwanaume Huwa anataka mwanamke mzuri na mwenye akili

Kinachotokea ni Ile umekosa chaguo Bora unaenda na ulilipo .

Ukiona mwanamke anakuambia kakupenda tu ujue uongo the same wewe kusema haujazingatia uzuri ujue uongo.

Mfano Hawa wanawake wakibongo Wana akili Gani kubwa ya kufanya umpendee akili !!?
 
Huwa napata shida kuwaelewa kabisa,kwahiyo kuhudumia familia yako ni jukumu la nani? Kumtunza mkeo ni jukumu la nani?

Mkeo is not ur business partner,ni jukumu lako,kwahiyo unataka ndoa isiyo na mahitaji na matumizi?
 
Siku ukifika kwa hakimu na ukakuta mkeo kaorodhesha mali za ndoa "marital properties" ili zipigwe pasu, ndio utajua kwamba ndoa ni wizi/utapeli.
Siku mkiqnza kisikiliza mashauri ya kugawana mali ambazo umechuma ukiwa kijana peke yako.
Siku ukiambiwa settlement ya ndoa yako ni mamilioni ya shilingi na bwana hakimu ndo utajua.

Kinyume na hapo ndoa ni nzuri tuu. 😁
 
Huwa napata shida kuwaelewa kabisa,kwahiyo kuhudumia familia yako ni jukumu la nani? Kumtunza mkeo ni jukumu la nani?

Mkeo is not ur business partner,ni jukumu lako,kwahiyo unataka ndoa isiyo na mahitaji na matumizi?

Lazima uangalie usalama wako - unabidi kuwahudumia watoto wako very strategically

Mwanamke is not ur partner , she is there kwa ajili ya kupata mahitaji ukiingia broke anaondoka .

Na sio kuondoka tu ila anabeba mali zako.

Kwa kutumia karatasi means ndoa haina uzito wowote wa ku-secure maisha ya Mwanaume.


Na wanaume wengi wameoa ili ku-meet societal expectations Leo wamepata mental problem na wengine wamejiua na wengine wapo broke
 
Huwezi kuingia kwenye mradi ambao una failure rate ya zaidi ya 50% bila kuwa na exit strategy au kinga ya mali zako.

Zamani wanaume waliumia kimyakimya , lakini leo hii kuna transparency, uwezi kusema ni ujinga wakati sheria na mifumo ya sasa inampa mmoja faida na mwingine hasara halafu uonekane uko sawa.
 
Siku ukifika kwa hakimu na ukakuta mkeo kaorodhesha mali za ndoa "marital properties" ili zipigwe pasu, ndio utajua kwamba ndoa ni wizi/utapeli.

Kinyume na hapo ndoa ni nzuri tuu. 😁
Cha ajabu wanaume wengi hawana mali kihivyo ila kutiana ujinga tu
 
Basi bora huu ujinga wangebaki nao wenyewe,nasikitika wanautawanya kwa vijana ambao huenda wakaamini hizi nadharia zao
Wanaamini vibaya mno! Ukisoma comments utawaona wanavyohama upande kama wajinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…