Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Tatizo n humu JF hua tunaongeza mbwembwe Ila ground tunajitambua, nyeto haiwezi kukufanya uwe addicted kama unaifanya kwa lengo la msingi na trust me Huwez kuwa addicted kwenye nyeto kama unajitambua na unajua lengo lako.

Sasa umeanza kutupanga! ๐Ÿ˜
Punyeto sio njia ya asili, punyeto sio kila mtu anaifurahia, punyeto ina addiction.
Binafsi punyeto, ilishanishinda aisee ni mchakato mgumu sana kwangu. ๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nahisi haya mambo inabidi uanze ukiwa mdg hujaijua papuchi Vizuri. Ila ukishajua chocho za papuchi ndo uje ujaribu nyeto, Hutoboi, akili inagoma kabisa ๐Ÿ˜€

Inagoma kabisa mkuu. Mimi nilijifunza punyeto around 2005, nikiwa shule Kantalamba Boys pale. Na kisa kilikuwa kidogo tuu, kulikuwa na TV ya shule inawekwa ukumbini.
Sasa muda wa kuona TV ya shule ilikuwa ni saa mbili usiku mpaka saa nne. Ilikuwa ikifika saa nne, mabraza wale wa form five na six, wanatufukuza madogo kalaleni au nendeni prepo wanaweka mkanda wa X. Kuna siku watu kama watano hivi tukakomaa kubaki ukumbini mle. ๐Ÿ˜

Bwana ndo tukajifunzaga habari hizo za puchu, mtu akienda kuoga. Anakaa masaa mawili bafuni. Kazi ile wazee, sio kila mtu anaweza. Inataka moyo. ๐Ÿ˜
 
Hakuna nilipowapanga, naongea kwa uzoefu

Sasa ili upige punyeto si lazima upate stimu. Sasa stimu hiyo kuipata na mchakato mzima ndio watu inawashinda.

Tofauti na mwanamke unakua unamuona hapo hapo. Unamaliza gaja zako. Ule mzunguko wa punyeto ndo ugumu wenyewe mkuu.. ๐Ÿ˜
 
Sasa ili upige punyeto si lazima upate stimu. Sasa stimu hiyo kuipata na mchakato mzima ndio watu inawashinda.

Tofauti na mwanamke unakua unamuona hapo hapo. Unamaliza gaja zako. Ule mzunguko wa punyeto ndo ugumu wenyewe mkuu.. ๐Ÿ˜
Huo mchakato wa nyeto c ww mwnyw unauandaa, ili usiwe addicted bc punguzo huo mchakato
 
Ukioa wewe inatosha, unataka matatizo unayopitia wewe ndoani kila mtu apate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ