Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Nyie mnaotetea ndoa ni wepesi sana hapa nafanya monitoring ya debate kwa karibu naona hamna hoja ya maana mnayokuja nayo, nikiangalia safu ya team ya kupinga mkataba haramu wa ndoa hamna hata moja alieongea mkiwa na hoja za maana mnitag nitoe silaha za maana zianze kurusha makombora
 
Okoa jahazi mkuu 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…