Ndoa nyingi hazidumu kwasababu watoto wengi wazazi wao walikuwa mashangingi.

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,481
Reaction score
4,014
Hellow wana JF.

Ukioa/olewa
na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu.

Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu, ndoa zimekuwa cancer kwasababu watu wengi wametoka kwenye mikono ya wazazi mashangingi wasio elewa umuhimu wa ndoa.

Matokeo yake vijana wengi wakiume wanazalisha hovyo hovyo na_kuwakimbia hao mabinti walio wazalisha(vijana hao wanajiita Bad boys).

Vibinti navyo vinazaa hovyo hovyo nakufanya ongezeko la single mothers kila kukicha(vibinti hivyo vinajiita bad girl).

Ndoa kwa sasa inaonekana mzigo, ndoa inaonekana mateso, ndoa inaonekana ni unyanyasaji yani ndoa kwasasa imechafuliwa na hawa wazazi mashingingi walio zaa na kulea watoto mashangingi wanakuja kuharibu image ya ndoa na jamii.(NDOA SIO JAMBO BAYA).

And unfortunately
single fathers and single mothers mashangingi wanazidi kuongezeka kila kukicha kwa maana hiyo wanazidi ku_produce kizazi cha kishangingi. Hawa watu hawawezi wakawashauri vizuri watoto wao pale wanapopitia changamoto kwenye ndoa zao.

Kijana wakiume au wakike kama kweli unahitaji ndoa tulivu na salama kwa uzao wako hakikisha unaoa/olewa na kijana ambaye wazazi wake wapo kwenye ndoa AU wanajua nini maana ya ndoa.

Usithubutu kuoa/olewa na kijana ambaye wazazi wake ni mashangingi lazima utaona ndoa mbaya utaona ndoa ni manyanyaso + utapeli.
 
UNAANDIKA MAMBO BILA DATA. UNATUMIA DATA GANI/UTAFITI GANI KUWA WAZAZI WENGI WALIKUWA MASHANGINGI?
 
Wazazi wake wanaweza kuwa kwenye ndoa na bado hiyo ndoa ikawa ni zile ndoa chungu,
Kiufupi unasema ndoa zote zilizovunjika ni za vijana ambao hawajalelewa na wazazi wenye ndoa?
Na unasema pia hakuna ndoa tamu ya vijana ambao hawajalelewa na wazazi au walezi kwenye ndoa ?
 
Mkuu mbona hapo juu nimeandika vizuri sana.

Data?
Nimesha_eleza hapo juu ongezeko la single fathers & single mothers kila kukicha au wewe kwenye jamii yako haulioni hilo Mkuu?

Wazazi kuwa mashangingi Data?
Nimetumia data za kwenye jamii yangu nimeona watoto wengi walio kulia kwenye mikono ya mama na baba(ndoa) wengi wanatulia/dumu kwenye ndoa.

Lakini
Watoto walio lelewa na wazazi Mashangingi wanawaaminisha watoto kuwa ndoa si chochote ni mateso/manyanyaso na utapeli(unaweza ukawa kwenye kundi hili mkuu).
 
Wazazi wake wanaweza kuwa kwenye ndoa na bado hiyo ndoa ikawa ni zile ndoa chungu,
Kiufupi unasema ndoa zote zilizovunjika ni za vijana ambao hawajalelewa na wazazi wenye ndoa?
Na unasema pia hakuna ndoa tamu ya vijana ambao hawajalelewa na wazazi au walezi kwenye ndoa ?
Hapa tunacheza na % mkuu.

% kubwa
Watoto waliokulia kwenye malezi ya mama na baba(ndoa) hawawezi kufanana mtazamo kuhusu ndoa na watoto walio kulia kwenye mkono wa single father au single mother.

Kataa ndoa wengi ni watoto wa mashangingi wasio tambua umuhimu wa ndoa.

Hivyo basi ushangingi ni tatizo katika jamii yetu(maisha ya ndoa).
 
Back
Top Bottom