Ndoa nyingi hazidumu kwasababu watoto wengi wazazi wao walikuwa mashangingi.

Kijana wakiume au wakike kama kweli unahitaji ndoa tulivu na salama kwa uzao wako hakikisha unaoa/olewa na kijana ambaye wazazi wake wapo kwenye ndoa AU wanajua nini maana ya ndoa.

Usithubutu kuoa/olewa na kijana ambaye wazazi wake ni mashangingi lazima utaona ndoa mbaya utaona ndoa ni manyanyaso + utapeli.
Ndugu mleta uzi ! Umeandika uzi wako kwa hisia sana sijui kama ume copy au ni mawazo yako.

Familia kuwa na mzazi mmoja (Single parent family) kuna sababu mbalimbali. Mwanandoa mmoja kufa, kukimbia majukumu, talaka, ulemavu wa kudumu na siku zote Mwanamke ndio hubaki muhanga kwenye hili.

Malezi ya Single parent family hasa malezi mama mara nyingi sana hata mtoto wake ataleta mtoto tu na baadaye ataishia naye kuwa Single maza na maisha huendelea vizuri tu. Lakini vijana wa kiume humu mitandaoni huwa tunakejeli na kuhukumu vibaya ya Single Parent family bila kujua nini sababu.

Mambo haya sio ya kuangalia juu juu tu.
 
Hapana mkuu sijaandika kwa hisia wala sija_kopi popote ni Demographic.

Matatizo ambayo si ya_kupanga/hayatatuliki ya_mkimfika mtu mpaka kumpelekea awe single parent hatu_hesabu kama ni Ushangingi. kwamaana hiyo usijali mkuu Demographic imezingatia hilo.

Naamini hata wewe kwenye jamii yako(ikiwemo mitandao) unajionea jinsi vijana wakiume na wakike wanavyo ishi reckless life na kuiponda ndoa nakuifanya kuwa adui mkubwa.

Wanaamini ndoa ni manyanyaso, utapeli, kupoteza muda, utumwa, inakunyima uhuru wa kulala na mtu yeyote utakaye mtamani, vijana hawaheshimu wake za watu kwa sababu mama zao hawajawahi kuwa kwenye ndoa, mabinti hawaheshimu waume za watu kwasababu baba zao hawajawahi kuwa kwenye ndoa.

Au Wewe unazani shida ni nini mkuu?
 
Sio kwamba wanao wazalisha ni wasela nondo wenye utoto na wasio jielewe kumtunza mke na mtoto ?
 
Ndiyo ushangingi huo Mkuu.

Vijana mashangingi kujiona masela nondo kumbe wanachafua jamii na vibinti kujipenyeza kwa masela nondo nao huo ni ushangingi.

Binti aliye lelewa vyema na mama & baba hawezi akijingiza kwa kamsela nondo kashangingi kasiko jitambua (ndege wafananao....).
 
  • Fire
Reactions: Oho
Bora nimeoa shangingi jenzangu watoto wako boarding school

Hiyo cancer iko maeneo gani fact onili
😀 mkuu kama wewe umeoa na umetulia na famailia yako haupo kwenye kundi la ushangingi.

Mashangingi wanaamini ndoa ni manyanyaso, mateso na inawanyima uhuru wa kulala na mtu yeyote wanaye mtamani.
 
Kosa la kwanza ni pale ndoa ilipoitwa pingu za maisha. Yaani binadamu anavyoogopa pingu halafu ndoa ikaitwa pingu tena za maisha
 
Mkuu mbona hapo juu nimeandika vizuri sana.

Data?
Nimesha_eleza hapo juu ongezeko la single fathers & single mothers kila kukicha au wewe kwenye jamii yako haulioni hilo Mkuu?

Wazazi kuwa mashangingi Data?
Nimetumia data za kwenye jamii yangu nimeona watoto wengi walio kulia kwenye mikono ya mama na baba(ndoa) wengi wanatulia/dumu kwenye ndoa.

Lakini
Watoto walio lelewa na wazazi Mashangingi wanawaaminisha watoto kuwa ndoa si chochote ni mateso/manyanyaso na utapeli(unaweza ukawa kwenye kundi hili mkuu).
Kuna watu huwa akili zao sijui zipo vipi. Unamuelezea kwamba kuna shida fulani na unamuonyesha ushahidi wa kuonekana ila bado atakuuliza swali la kichawi " Unatumia data au tafiti kutoka wapi". Swali huwa nauliza,je wazee wa kale walikuwa wanadadisi matatizo kwa kutumia tafiti za taasisi ya takwimu au?
 
Hatari sana Mkuu.

Me naona maswali kama hayo yanazidi kuweka wazi ni kwanamna gani tuna jamii isiyo jiweza.

PIA INAWEZEKANA KIJANA NI SHANGINGI NDIYO MAANA ANAULIZA DATA AMBAZO AMESHAPEWA.
 
Kosa la kwanza ni pale ndoa ilipoitwa pingu za maisha. Yaani binadamu anavyoogopa pingu halafu ndoa ikaitwa pingu tena za maisha
😀 mkuu vijana wanataka kuwa huru kufanya ngono na mtu yeyote watakaye mtamani.
 
😀 Me nimeshaoa mkuu siwezi kuongeza mke.

Mwanamke smart kama wewe naamini hauwezi kukosa mume so tulia kwenye position utapata tu.
Kwenye circle yako wote mmeoa hakuna shangingi mmoja unifanyie assist niache ushangingi..!! 😹
 
UNAANDIKA MAMBO BILA DATA. UNATUMIA DATA GANI/UTAFITI GANI KUWA WAZAZI WENGI WALIKUWA MASHANGINGI?
Huenda yeye ni most of them, Kwahiyo anataka kuifanya experience yake binafsi kuwa ndiyo uhalisia wenyewe.
 
Kwenye circle yako wote mmeoa hakuna shangingi mmoja unifanyie assist niache ushangingi..!! 😹
😀😀 Sina circle ya kishangingi mkuu wote tumeoa.

Kunammoja alikuwa shangingi but anaoa mwezi ujao(8) karibu tule ubwabwa mkuu.
 
Hellow wana JF.

Ukioa/olewa
na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu.

Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu, ndoa zimekuwa cancer kwasababu watu wengi wametoka kwenye mikono ya wazazi mashangingi wasio elewa umuhimu wa ndoa.

Matokeo yake vijana wengi wakiume wanazalisha hovyo hovyo na_kuwakimbia hao mabinti walio wazalisha(vijana hao wanajiita Bad boys).

Vibinti navyo vinazaa hovyo hovyo nakufanya ongezeko la single mothers kila kukicha(vibinti hivyo vinajiita bad girl).

Ndoa kwa sasa inaonekana mzigo, ndoa inaonekana mateso, ndoa inaonekana ni unyanyasaji yani ndoa kwasasa imechafuliwa na hawa wazazi mashingingi walio zaa na kulea watoto mashangingi wanakuja kuharibu image ya ndoa na jamii.(NDOA SIO JAMBO BAYA).

And unfortunately
single fathers and single mothers mashangingi wanazidi kuongezeka kila kukicha kwa maana hiyo wanazidi ku_produce kizazi cha kishangingi. Hawa watu hawawezi wakawashauri vizuri watoto wao pale wanapopitia changamoto kwenye ndoa zao.

Kijana wakiume au wakike kama kweli unahitaji ndoa tulivu na salama kwa uzao wako hakikisha unaoa/olewa na kijana ambaye wazazi wake wapo kwenye ndoa AU wanajua nini maana ya ndoa.

Usithubutu kuoa/olewa na kijana ambaye wazazi wake ni mashangingi lazima utaona ndoa mbaya utaona ndoa ni manyanyaso + utapeli.

Unakuta mdada biKra zote Hana bado anataka kuolewa
 
Kwenye simu yangu nina makundi zaidi ya 10 ya kuchangia michango ya harusi.
Mnavyoleta mawazo yenu hasi kuhusu ndoa utafikiri dunia yote inaishia mtaani kwenu.
 
Back
Top Bottom