Mkuu kuna watu wanapenda kubiahia ukweli kwa namna za kipuuzi sijui data sijui nini! Wanapenda kubisha tuMkuu mbona hapo juu nimeandika vizuri sana.
Data?
Nimesha_eleza hapo juu ongezeko la single fathers & single mothers kila kukicha au wewe kwenye jamii yako haulioni hilo Mkuu?
Wazazi kuwa mashangingi Data?
Nimetumia data za kwenye jamii yangu nimeona watoto wengi walio kulia kwenye mikono ya mama na baba(ndoa) wengi wanatulia/dumu kwenye ndoa.
Lakini
Watoto walio lelewa na wazazi Mashangingi wanawaaminisha watoto kuwa ndoa si chochote ni mateso/manyanyaso na utapeli(unaweza ukawa kwenye kundi hili mkuu).
Eti Milioni 500. Wakati ikichomoka anaichomeka mwenyewe anairudishiaNa mahari anakupangia kabisa.
😄😄😄😄Kosa la kwanza ni pale ndoa ilipoitwa pingu za maisha. Yaani binadamu anavyoogopa pingu halafu ndoa ikaitwa pingu tena za maisha
Na bado akija maishani kwako lazima akupe UTI, Kisukari na Presha😀😀 hapo na bado aje akuzalie toto la nje na ex zake.
Kataa Ndoa, hizi ndoa ni kichaka cha utapeliMwisho ufe kwa magonjwa lenyewe linabaki kula uwekezaji wako na mashingingi wenzie.
Mimi Kila Mwanamke ninayekutana nae anataka nimpe hela nimtatulie shida zake za MaishaKataa kuoa shangingi Mkuu wapo wanawake wakuoa na ukafurahia maisha.
😀😀 mkuu inawezekana umekaa kwenye position ya Bank.Mimi Kila Mwanamke ninayekutana nae anataka nimpe hela nimtatulie shida zake za Maisha
Sasa kwani wameambiwa Mimi Benki mtoa hela???