Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Sizani kama shule ni sababu. Wahindi na waarabu pia wanasoma shule.

Hata asilimia kubwa ya wazungu wasomi huwa wanafunga ndoa wakiwa hawajazidi 25.
Kumbe ,ishu ni mitaala na serikali iaze kutunza watoto tunaowazaa ,mana wazungu hufanya hivyo
 
Maadili yanatunzwa na mwanamke. Mwanamke asipokubali kuingiliwa hovyo kabla ya wakati vijana wa kiume hawatakuwa na wa kuwazalisha kabla ya wakati.
 
Nawashauri wanawake wenzangu
Tupunguze kuweka mavitu kwa bibi[emoji119]
 
Tafiti zako haiwezi kamilika kama huja yaishi unayotafiti.
Experience ni zaidi ya tafiti.
Tuache wanawake waongelee jambo hili kwa engo kubwa mana kuna vyanzo vingi ila wengi kwa tulipo sasa sio biological tena Bali wanapigwa na wasivyoviona.
Kuna mafala wamekaa sehemu wanakupangia usizae hadi ufe.
So painful mke niliezaa nae pedi alizokuwa akitupa ndio walizo Tumia kumpiga tukio.
Walimengu kumamamke zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…