Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
 
[emoji849][emoji849] milioni 4 TSH...mzee wa mashauzi kushnei

Kidoti una bahati umeona?
 
Yes ndicho nilichokiongelea wanawake wa kule wana sense ya upambanaji sasa wakikutana na mtu ambaye ni mvivu hawawezi kuishi pamoja
Kwahio upambanaji unahusisha na Gold digging right? If thats what you mean the kwa Kenyan ladies thats a Check☑️
 
[emoji849][emoji849] milioni 4 TSH...mzee wa mashauzi kushnei

Kidoti una bahati umeona?
Kidoti ana bahati kwa ajili ya child support, hapo mil 4 kwa mke mmoja bado wale watatu alio wazalisha, sijui nao anawapa kiasi gani kwa mwezi.
 
Goldiggers is a worldwide case ila kwa Kenya imezidi yani ni dhahiri wala hawajifichi😅
 
Amina alipenda umaarufu wa kiba ila hakujua kiba ni kama domo wote hawafurukuti kwenye himaya za mama zao,maneno ya Mama zao ndio sheria na kanuni za maisha.
Nadhani Amina alipokuwa anaingia kwenye ndoa na Ally alijua kwamba jamaa anapenda sana chini we ana watoto 5 kila mtu na Mama yake yeye ni nani au ana k gani ya kumtuliza jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…