Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Chuki zako hizo zitakumaliza,na ndio maana dada zetu wataendelea kuwa the best kwa sababu za chuki zenu
Ndio shida ya watu wasiopenda kuwambiwa ukweli na kuhisi wanachafuliwa au kuchukiwa.

Kwahiyo unadhani mimi sina marafiki wachagga?!

Mimi sichukii mtu hapa wala kutarget kabila. Ila nakemea matabia mabaya ambayo yanaharibu ustawi wa jamii.

Ukweli ni huo kuwa wanawake wa pande zile wana itikadi za ubinafsi sana na kuendekeza tamaa ya pesa.

Kuna m'moja aliniwakia eti kwasababu nilimuahidi pesa na sikumpa kwa wakati.

Maneno niliyomtext baada ya kumkatia simu akiwa bado anatukana sidhani kama atakuwa ameyasahau. Maneno yalimpa adabu na kujua si kila mwanaume anashoboka na uzuri wa sura na mwili.

Tabia kwanza. Wewe hauna utu halafu unaingia kwenye mahusiano kutafuta nini?!
 
Aisee kama upo willing kuna dada mmoja anataka kugegedwa na wanaume wawili ila tope unakula mzee?
Aaaah huko hapana,kula sigara kali mi mtihani kweli kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile kitu mimi nooooo wacha inipite tu.
 
Mmh! N tabia ya mtu, msijumuishe makabila[emoji18].

Mtuache wachaga tupumue, maana mmetoka kikuyuni had uchagani.[emoji2358]
Nyie na masingle mother hadi mnadilike na kunyooka. Hatuwezi waacha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikijua kuna element zozote za njama. Nitapiga huyo nguruwe niuwe..... Na nitambalasa atoke nisimuone tena milele.....
Wanawake wazulu,Wakikuyu wapo kimaslahi zaid kuliko kimapenzi hasa ukiwa sio mwenzao utafanyiwa visa na vitimbwi kibao mpaka upate sababi ya kumuacha na ukishamuacha sasa anataka mgawanyo sawa wa mali na kama unajifanya kichwa ngumu unatumiwa majambazi wakumalize kabisa kesi iishe
 
Best ya nyoko kwa lip izo shape kama funza na meno ya kuoza mjazane dar muende kwenu mwezi mmoja kati ya 12 akill au matope
Bado wataendelea kuwa the best kwenyev utafutaji na tabia,na mkiendelea kutuletea shombo ss kaka zao tunawaoa na nyie
 
Dah.. kiba. Sio poa.

Sasa millioni 4 kila mwezi utatoa wapi!!!??
 
Kwa kifupi sema Amina alitegemea kukuta spirit ya hardworking ya Mondi kwa Alikiba. Akakuta kumbe Ali ni style zile za bongo movie jina kidogo anataka majimama ndo yamfanyie kazi yeye ale tu na kufanya kazi anapojiskia tu
 
Angekua mchakarikaji angekua level zingine.....
 
Hapa naomba utolee mfano wa fala mmoja anaitwa wema sepetunga
 
Kila siku ukae ndani unafikiria? Bora ungesema unasoma
 
Kwa kifupi sema Amina alitegemea kukuta spirit ya hardworking ya Mondi kwa Alikiba. Akakuta kumbe Ali ni style zile za bongo movie jina kidogo anataka majimama ndo yamfanyie kazi yeye ale tu na kufanya kazi anapojiskia tu
Umemaliza
 
Apambane, 4m kwa kiba haipaswi kuwa tatizo japo sina hakika kama atamudu kila mwezi maana nakumbuka tu msala na producer Manwater walisumbuana mda mrefu sana sababu ya 5mn tu. Kwa level zake akiwa creative hakosi parefu kila mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…