Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Kwahio vijana wa Kitanzania mna muonea wivu Hamisa, mlitaka Aziz awashenyete nyie..?
Embu huo umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi wenu pelekeni kijijini kwenu waacheni waoane...
By the way hapo kwanza Kitaifa tumefaidika na hiyo ndoa...
Yani wanaume wazima na makengele yao wanaumia sasa sijui walitaka waolewe wao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sasa wakinga na utapeli tumeingiaje hapo??

Kweli kaka fule akamchukue mobeto amfuge ndani na sisi tumkubalie?? Unataka ashushe brand ya kabila.!! Kweli? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mliuza kombe kwa bei nyepesi unaona sasa mbukinabe kawake chombo ndani.Ndugu yenu vunja maprice anaishia kuita dada dada
 
Ndoa za kiislam ni dk 0 tu hakuna kutemba nikiona sikuelew Kila mtu anaenda njia yake changamoto ninayoiona labda kwenye mgawanyo wa mali ila hicho nacho sio shida kiviile kama Aziz atakuwa kaandikisha jina la mama yake kwenye mali zake zote.
 
Umeuliza maswali muhimu sana. Amisa ni wa kuwaachia wanamziki. Soka linahitaji mke mtulivu
 
Hatumuonei wivu, tunamuonea huruma
Kila mtu ana past yake, muda wowote mtu anaweza kujifunza kutokana na makosa ya nyuma.
Usishangae Misa akawa mke bora kwa Ki.

Halafu wewe ukaoa ukapigwa matukio ndo ikakushinda huku Ki akihesabu tu miaka na wife wake wa ukweee!
 
Kila mtu ana past yake, muda wowote mtu anaweza kujifunza kutokana na makosa ya nyuma.
Usishangae Misa akawa mke bora kwa Ki.

Halafu wewe ukaoa ukapigwa matukio ndo ikakushinda huku Ki akihesabu tu miaka na wife wake wa ukweee!
Hayo yote yanawezekana, lakini msitukataze kujiuliza. Kama anatusoma basi itasaidia kuchukua tahadhali
 
Dah single maza kazi wanayo,sema mkinga aliwatia aibu hile chombo ni ya kwenda japo ni single maza.Angeondoka na copy kama wenzake angewapaisha wakinga
Wakinga tuna macho ya rohoni, copy tumeacha kwa akili kubwa Jokate ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Wakinga tuna macho ya rohoni, copy tumeacha kwa akili kubwa Jokate ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kazi kweli kweli! Sema mfikishie salamu vunja maprice.Mwambie habari za kuwaita watoto wazuri dada dada zitamgharimu siku moja, pale alikuwa anapata copy.Yule kidoti aliamua kumbless tu alikuwa na stress za ukiwa baada ya yule mzee wa Chato kutembea
 
Usijali... Ila Aste Aste naona mbinu inajibU. Haji Manara, Jonas Mkude, Hamisa Mobeto. chama, mwenda, baleke, na kubwa kuliko ni AZIZI KI. BADO.TUNA PACOME.
Hatari sana hao ndo Simba B sasa..
 
Nyie ndo mlikimbia vikao vya wanaume wenzenu ..
Mtu unafatikiaje mambo ya mwanaume mwenzio
 
Wanaume kwani mlitaka Aziz awaoe nyinyi? nikisoma post za wanaume wazima mnatokwa maneno kama maporomoko ya maji khaa!
MMEUMIA KWA KUWA AMEVUNJA KWA KISHINDO kebehi zenu! Kawategua nyonga maamae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ