Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

Natoa angalizo kuwa turudie Ile elimu aliyotupa Mshana kuhusu Mdomo wa mwanamke na maumbile yake.Naona darasa alikukuelewa Mwalimu Mshana vizuri.😄😄
 
Halafu alikuwa analala nao wote kitanda kimoja
Sifa na umaarufu huweza kushushwa saazingine kwa kukosea kupiga hesabu ya jambo sahihi la kulipromote!

Mambo mengi hapo sasa watu wataanza kujihoji, hata ule usahihi wa dawa zake za nguvu za kiume, tayari client wataanza kujiuliza uliza!

Maisha ya kwenye media yanaweza yakakuinua sana na kisha yakakuporomosha kabisa!
 
wana
wanaume wanaonyoa vipara, wenye uwalaza na wenye kichwa kama cha mwaka huwa na matatizo.. am off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…