Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Cassie ,Marehemu Kim Porter ,na baby mamaz wake wengine huwa anakula na kusepa[emoji28][emoji28][emoji1787]
Jiggaa anahonga balaa, mademu zake anawapa magorofa na mabentley...sema kitombi sana jamaa[emoji848]
Cassandra Ventura ' Cassie' ndo alitumika asee kwa Diddy, lile jamaa janja sana
kwani hela anayo?Watamfilisi
Weeee, kanye ni billionaire tangu mwaka jana na kawaacha mbali huyo jay-z na dreKanye amzidi Jay Z?Unaota
Dr Dre ndo kapagawa akifikiria mpunga atakaolamba aliokua mkewe hao wote Kanye wamemuacha parefu tu.
mwambie huyoKanye Ni bilionaire kijana fuatilia taarifa za Forbes
Dill zake za Yeez brand na Adidas zilimpa mkwanja wa manaa Sana Forbes wenyewe wamekubali so usimchukllie poa
mwambieni huyo fambaWeeee, kanye ni billionaire tangu mwaka jana na kawaacha mbali huyo jay-z na dre
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Hana?kwani hela anayo?
Weeee, kanye ni billionaire tangu mwaka jana na kawaacha mbali huyo jay-z na dre
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
nitarudi baadae kucommentKatika viumbe wa kuwa nao makini ni wanawake.
Yule wa Jeff's alimlia time mumewe Kisha kaopoa mabilioni ya dollar kwa kinachoitwa talaka. Mke kawa billionaire na mumewe wamempiku.
Kwa sasa hakuna kinachomfurahisha mwanamke Kama kuolewa na mwenye hela maana anajua lazima atoke na mzigo mzito Kama ndoa itaishia kwenye talaka.
Kwa Mackenzie bezoz hata Mimi ningekuwa Jeff ningempa hela zaidi ya hizo .
yupo kapunwa katulia yupo kwao ila bado yupo nae mkewe waghana wastaarabu sanaHivi koffi annan ilikuwaje?
yupo kapunwa katulia yupo kwao ila bado yupo nae mkewe waghana wastaarabu sana
Absolutely, mimi pia binafsi sioni shida kugawana mali na mwanandoa ambaye nimeanza naye from the scratch (kipindi nipo vibaya kiuchumi)Kwa Mackenzie bezoz hata Mimi ningekuwa Jeff ningempa hela zaidi ya hizo .
Ametoka na jamaa from the scratch hakumkuta Jeff hata na u lakionea (in terms of USD)
Tatioz Jeff alikuwa anakula "Mali mpya " namba D
Usikute ile taste kwa mkewe ashaipoteza Sasa angefanyaje
Halafu Mackenzie nae angekuwa fair sana kwa jamaa la sivyo angedai nusu nusu
Just imagini una 40$bilions annual dividend unakula around 50$milions huko maisha yanataka Nini zaidi [emoji1]
Fair kabisa
Familia nzima kabisa ya kina Kardashian ina mikosiKim ana mikosi sana aisee.
Hata Biblia pia nayo inatambua kuwa kuachana kupo.Sio wakristo hao?
Maana huwa hawaruhusiwi kuachana hata kama ndoa ni kajehanamu kadogo duniani
Wee Kof anan amekufa siku nyingi sana[emoji848]yupo kapunwa katulia yupo kwao ila bado yupo nae mkewe waghana wastaarabu sana
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]shangaaJaman huyo baba si ashakufa au kuna kina koff wangapi?
Kimdolishia beyonce kumeishaNalipenda likanye lipo cool japo ndio anaumwa maskin
Kim kasema wanataka kuachana kwa amani hataki ugomvi
Kweli mkuu,Kanye alijichanganya sana.Familia nzima kabisa ya kina Kardashian ina mikosi