Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Waachie mambo yao wenyewe,je una bikra wewe kama huna badi uliachika pia?
 
Hujaulizwa
 
Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Ukiona hivyo jua tayari washaanza kumkaza pembeni ndo dharau zinapoanzia. Wanawake ni viumbe wasio na shukrani kabisa na ni wabinafsi kupitiliza
 
Ukiona hivyo jua tayari washaanza kumkaza pembeni ndo dharau zinapoanzia. Wanawake ni viumbe wasio na shukrani kabisa na ni wabinafsi kupitiliza
Huo ndio ukweli mwanamke akianza kupigwa nje jua huna chako hapo andaa exit plan ya haraka siku anaondoka vunga kama umeumia hivi Kisha akipotelea andaa mchemsho mzuuuuri wa samaki weka karoti hoho curry powder pilipili flani tafuta chapati nzuri kula taratibu huku ukingoja mechi ya Azam na Yanga baadae
 
Njoo kwenye ukurasa wangu ujifunze jins ya kujitibu matatizo ya nguvu za kiume ukiwa nyumban kwako kwa zoez maalumu matunda mannee yaan ndiz karot parachich na tikit maji au kwa maji ya uvugu uvugu ukitibu unapona kabisa sababu unazibu mfumo hata kama huna tatizo njoo ujiiamrishe maana unakua unajiimarisha na kua imara zaid 0712505049
 
Wewe inaonekana una mbele na nyuma, si una mtoto pia? ndio anaowataka bwana Haji awape maisha, NIDA na passport. Najua pia utapenda kwenda Dubai na Emirates. πŸ˜€
Hapana aisee; nitalia sana mtu akinisimangia NIDA na vipedo vyangu. Acha tu mtoto wangu aendelee kusoma Kanumba
 
Hii peleka kwa Manara inatamsaidia sana
Zay kasema hadindishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…