Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

🀣.

Haya mapenzi ya kwenye mitandao bana!

Yananikumbusha mapenzi ya yule β€˜receptionist aka mama H’ 🀣.

Halafu, hivi kwa nini wanawake hukimbilia kutoa madai ya wanaume wao kutodindisha pale wanapoanza kugombana?
hicho tu ndo tunajua kitawauma
 
Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Kuna Uzi humu tulisema hawafiki popotee....ni Jambo la muda TU. Ni kama AZIZ K na MOBETO ni Jambo la muda TU.

DUNIA INA MAMBO_ WATU PORI.
 
🀣.

Haya mapenzi ya kwenye mitandao bana!

Yananikumbusha mapenzi ya yule β€˜receptionist aka mama H’ 🀣.

Halafu, hivi kwa nini wanawake hukimbilia kutoa madai ya wanaume wao kutodindisha pale wanapoanza kugombana?
Wanapiga kwenye mshono.. kuhusu kudinda hiyo tuhuma watoto wa ilala kina GENTAMICIN SULFATE INJECTION waliitoa/ wameitoa Sanaa.
 
Binafsi naona zai kavumilia mengi japo kuamini kuwa mapenzi yao yalikuwa real pia ni ngumu kuamini.
 
🀝
 
Watu wana vipaji vya kutabiri humu.

1:Nick wa 2-Chali
2:Mc Pilipili-Chali
3:

Huyo Mzungu atarudia makosa yaleyale ya kukurupuka kuoa halafu ataingia cha kike tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…