Chairman Ile ni kenge!Sio kiburi ni Malaya alikuwa anatafuta pakutokea
Kumbuka aliwahi kuwa na wake wawili na wote aliwapa taraka siku moja na wao wakaandaa sherehe kubwa kujipongeza image hadi wake wenza wanaungana πππππShangaa na wewe! Mwenye matatizo ni Haji hapa.
Hana uwezo wa kuishi na mwanamke abaki singo kwani anadaiwa?
π€£π€£π€£ shule za kanumbaKwakweli NO ERECTION π
Saa hizi atakuwa studio πDula makabila sasa π π π π π€
Kwa hiyo mtu akikusaidia kumsomesha mtoto wako; ni sawa tu atembee na ndugu zako au house girl? Uchekelee tu ujinga?Sasa mtu mpaka kamuhamisha mwanae toka shule za kanumba na shukrani ndo amna
πβοΈTwende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Tatizo ni hiyo jinsia yako mnaishi kwa hisia sio uhalisia ona sasa uliona nazi kumbe ndani koronaAisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Mkuu mi huko sipo nimependa shule za "kanumba" badala ya kayumbaKwa hiyo mtu akikusaidia kumsomesha mtoto wako; ni sawa tu atembee na ndugu zako au house girl? Uchekelee tu ujinga?
Aah kumbe shule za Kanumba π πMkuu mi huko sipo nimependa shule za "kanumba" badala ya kayumba
Pre mature erectionUnajua maana ya erection
Yani baadhi ya wanaume wakisaidia wake zao inakua fimbo kinomaKwa hiyo mtu akikusaidia kumsomesha mtoto wako; ni sawa tu atembee na ndugu zako au house girl? Uchekelee tu ujinga?
Huyu baba nadhani ana kasorokubwa kuliko tunavyo dhaniπ€¨Kwa hiyo mtu akikusaidia kumsomesha mtoto wako; ni sawa tu atembee na ndugu zako au house girl? Uchekelee tu ujinga?
ππππErection? π³π³π³π³
πππππDaah yaani Zai ni wa kumwita Manara kiongozi?
ππππNingekuwa manara ningeenda polisi kuda Zai anataka kunichuna ngozi.Halafu tuone atapumulia wapi