Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
Ukamatwe haraka, hahah
 
Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Mswahili aliyepitiliza huyo binti, na ile kuonekana anajiona jlo
 
Miaka 50 sio umri wa kugombana kisa mwanamke Sasa zahylisa kazaliwa 1999 haji 1975 gap la miaka 24,

Kimsingi brother haji atulie angetafuta Ata kabinti, kakijijini atulie nako kama shida ni upwiru
Tatizo manara hataki kujikubali kama ana changamoto aliyozaliwa nayo hivyo atafute mtu wa kuendana nae, hakuna mwanamke anaweza vumilia kuwa na manara sanasana watafuata mafanikio aliyonayo wakishavuna kikawatosha wanatafuta mlango wa kutokea kama hivi,...na asipojitambua ataowa sana lakini hakuna atakaedumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…