ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Alikosea kidogo kuhusu kutompa talakaMzee wangu aliniambia jambo moja muhim sana ..Ukikaa na mwanamke ukazaa nae watoto baadae ukaona ni msumbufu habadiliki mwanangu mpishe mwachie kila kitu hapo nyumbani ikiwezekana nenda mkoa mwingine mwache hapo usimpe talaka kaanze maisha mapya huko mbali kumaliza uzee wako salama.Akaongeza mwanangu kua na akiba ambayo mkeo haijui mjulishe ndugu yako unae mwamini sana hata swala kama hilo likatokea unapakushika na kuanza upya.
Mwanamke akiwa jeuri na umeshazaa nae mwachie kila kitu na mpe talaka awe huru kuanzisha mahusiano mapya
Nakwambia atatiwa kuni huko lakini hatosahau hakuna malaika kama baba fulani Baada ya kunyooshwa