ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #61
Bora useme wewe inashangaza yaani wanaume ni wabinafsi jamani alooooo nimenyoosha mikono juu🙌🏼🙌🏼Mbona watu wanajibu upande mmoja tu kana kwamba mwanamke ndie mkosaji pekee katika ndoa?