ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
YesYeah kwa amani kabisa pasipo usumbufu na kuacha traumas kwa mwingine
YesYeah kwa amani kabisa pasipo usumbufu na kuacha traumas kwa mwingine
Sijui kila mtu na mtazamo wake siwezi kabisa kuzeekea kwenye ndoa yenye traumaSio mbaya kuachana umri huo wa ndoa, purpose ya maisha kwa asilimia kubwa unakuwa umeimaliza, hakuna mtoto anakuwa tegemezi, uzee huu hapa, kama ni uwekezaji umemaliza, ni kuvuna na kulinda ulichotafuta. Kuachana na ndoa changa kuna athari hasa kwa wale tegemezi wako...
Nomakuta zinasiri kubwa sana majengo yaangaliage tu
At that age wala watu hawana mda na hizo mali. Yani huenda nina assets zangu na huzijui, nakuacha na nyumba naondoka zangu kwa amani kabisa, muhimu tumelea watoto na kila mtu ana maisha yake, nitakuwa na amani kuliko naondoka nyumbani watoto bado wadogo, sijawajengea kesho yao. It'll be so painful asee.Sijui kila mtu na mtazamo wake siwezi kabisa kuzeekea kwenye ndoa yenye trauma
Mnaachana uzeeni huna nguvu tena migawanyo sijui ya mali
Narudi palepale tunatofautiana mitazamo
Na ukizubaa unadunguliwaNdoa +CCM = kuna mambo haya ✌️
Kwa nini iwe vita? Unaishije vitani pasipo na amani?Kwenye ndoa kila siku ni siku mpya na vita mpya
Nje kidogo ya mada.Familia
Hivi nini hupelekea watu waliokaa kwenye ndoa miaka 20+ au 30+ kuachana?
Huwa ni tabia za zamani ambazo mmoja wao alikuwa akijipa moyo na muda na kuvumilia akidhani tabia itarekebika?
Nina mfano hai wa mama wa familia fulani
Mume amempa talaka mke wake ambaye wameishi pamoja kwa zaidi ya miaka 30
Huyo mzee alikuwa akipelekewa kesi za ndoa za wanafamilia, na alikuwa anakemea sana suala la kuachana
Kuna binti yake aliomba talaka kwa mume wake, huyo mzee akawa mkali kama pilipili
Hakutaka kusikia habari za binti yake kuomba talaka
Binti akalazimishwa kuvumilia, mzee hakutaka kusikia binti anadai talaka
Kwa kulazimisha binti akaondoka kwa mume wake
Mzee akawa mbogo mpaka baadae sana akakubaliana na hali
Sasa leo yeye ndiye ametoa talaka🙌🏼
Nilivyosikia nilishtuka kidogo kwa kuangalia muda ambao ndoa yao imedumu, ila sikuona ajabu sana kwa sababu mimi ni muumini wa amani
Kama hakuna utulivu, amani mchana kweupe naunga mkono anayeamua kukusanya virago
Kilichonifanya niandike ni kwamba nimejiuliza hivi watu wazima wanapokuja kuachana uzeeni, huwa ni makosa mapya au ni makosa ya zamani ambayo mtu alijipa moyo kuvumilia akidhani mwenza atabadilika?
Sioni mantiki ya kuachana uzeeni wakati tayari mmeshaanza kuzeeka na mna wajukuu
Au ndiyo kumaliza uzee salama?
Mie naona watu wakishindwana mapema tu waachane, kila mtu akatafute changamoto mpya
Weekend ya familia na ShesRise_1 ✋️ Upo wapi leo nyumbani na familia au ume chill sehemu 😊
Wangapi wanaweza kutofautisha divorce from separationTatizo kubwa watu wamekariri talaka! Wanasahau kuna kutengana. Kutengana ni bora kuliko talaka hasa mkishakuwa watu wazima.
Unavumilia zaidi ya miaka 30 +Uvumilivu uliofika mwisho
Hahahhhhh utamu wa ngoma, ingia ucheze mwenyewOlewa kwanza wewe ndio uje na majibu
Utetezi wa kishamba na usio na mashiko.changamoto iliyokuja ni dini ya Ukristo
Duh kazi ipo...
Try meSio kwa miaka hii ambayo nasikia baadhi yenu kimoya kwa mbinde ulimi njeee kama mbwaa anatimua mwizi 😅😅💔
Kwa hiyo mkuuBy nature wanaume/madume ni viumbe wa kuwa na wanawake wengi (polygamous), changamoto iliyokuja ni dini ya Ukristo ilipoweka sharti la mke mmoja. Pia na kubadilika kwa mfumo wa maisha wa jumla ambao sio rafiki tena kwa wanaume kuwa na wake wengi.
Mwanaume wa miaka sitini, sabini bado yuko moto sana kwenye sex life wakati kwa mwanamke ni tofauti kabisa anakuwa ameshapoa, zamani hapo angeletwa binti wa kumalizia uzee na mke mkubwa angeendelea kuwepo ila inapokuwa ndoa ya mke mmoja hilo haliwezekani tena
Ndoa na iheshimiwe na watu wote!Ndoa ni utapel
Sisi waislam talaka ruksa.japo ni halali ambayo mungu anaichukia.ila Kwa maslahi ya wote wawili ni Bora kila mtu akashika NJIA yake Kwa wemaHakika mkuu
Kabisaaaaa, sio kukaa tu kuongelea mambo ya watuHahahhhhh utamu wa ngoma, ingia ucheze mwenyew