Aisee ndio ile lait ningejuaUvumilivu uliofika mwisho..
Enzi zetu nakufananisha na wale wadada tulikua tunawaambia salamu haitii mimba.Kinoma noma yaan 🤣🔥🔥
Ukimuua nyani isimuangalie usoni
Enzi gani we kijana mdogo😅Enzi zetu nakufananisha na wale wadada tulikua tunawaambia salamu haitii mimba.
Achaa! Jamaa.Enzi gani we kijana mdogo😅
Mhaini wewe haya lala sasa ukueAchaa! Jamaa.
Angekua Mzee mwenzangu tungeshaelewana angekuja PM😂😂😂
Nikalale bila kukojoa??🥺🥺🥺🥹Mhaini wewe haya lala sasa ukue
Dah uhuru umepiliza nchi hiiNikalale bila kukojoa??🥺🥺🥺🥹
Dah uhuru umepiliza nchi hii
Mkuu Fanya kama mama ufungue mipaka ya hapo PM😊😊😊🤗
Nimekumbuka, tuachie hapoNaelewa ila maana yangu ilikua ndoa inayosimama kwa kigezo cha mtoto ni hatari sana
Kwa sababu hakuna mapenzi
Hakuna kuhurumiana
Issue ni kwamba wewe unaweza usitoe talaka lakini ukaletewa summons ya baraza la usuruhishi kata kwa nia ya mkeo kupata cheti ili akafungue shauri la Talaka mahakamani. Na usipoenda ndio imetoka hiyo kwa mkeo kuelekea mahakamani kudai talaka. 😃
Hakikisha mali zote zinasoma majina ya mwanaume Kwa umri wa uzeeni, mke ata akikukwaza vipi usitoe talaka, tafuta kipoozeo cha pembeni kwa ajili ya kukupa furaha. Kama una nyumba zaidi ya moja, mnaweza kutengana nyumba tu na si kutoa talaka. Hii ni kwa afya, ya uzeeni.
Unasikia baadhi yetu kimoya kwa mbinde ulimi njeee kama mbwaa anatimua mwizi 😅Kuhusu nini
Dunia ina mamboMhmm hii nasikia leo
Au sio jombaaUnasikia baadhi yetu kimoya kwa mbinde ulimi njeee kama mbwaa anatimua mwizi 😅
Will you pls try me
SawaDunia ina mambo