zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
pumba tu... aachiwe kila kitu alitafuta? unaelewa kila kitu wewe juha? anaachiwa vitu vya kumuwezesha kula tu na kuvaa basi.Alikosea kidogo kuhusu kutompa talaka
Mwanamke akiwa jeuri na umeshazaa nae mwachie kila kitu na mpe talaka awe huru kuanzisha mahusiano mapya
Nakwambia atatiwa kuni huko lakini hatosahau hakuna malaika kama baba fulani Baada ya kunyooshwa