ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #121
🤣🤣 unamwambia nani kwaniUlivyo vyalia sichoki kukuangalia *2
When man spirit still walking.. 🤗
Usiseme ni wivu ni upendo
🤣🤣 unamwambia nani kwaniUlivyo vyalia sichoki kukuangalia *2
When man spirit still walking.. 🤗
Usiseme ni wivu ni upendo
🤣🤣 unamwambia nani kwani
Kuachana ni Mzigo kwa watoto! Kutengana kuna uafadhali kwa watoto maana mwisho wa kutengana ni kurudiana ambayo ni ahueni kwa watotoLabda wameona kuachana ni bora zaidi
Hilo ndilo tatizo.Wangapi wanaweza kutofautisha divorce from separation
When she Steel even beyond🤣🤣 unamwambia nani kwani
InawezekanaKwa upande wangu,ndoa ambayo imedumu kwa miaka 30 na kuendelea kisha ikaja kufa naona kuna shida ambayo ilikuwepo muda mrefu sana,mwisho wa siku kama ni kamba basi ilikuwa nyembamba sana na mwisho wa siku ikakatika
Labda mambo yanakabaLakini kwa ndoa ambayo ilikuwa na ups and down za kawaida tu,haingii akilini kwanini ije kufa baada ya miaka yote hiyo
Imagine mika 30 +Kwasababu kama mmevumiliana nyakati ambazo nyote mlikuwa na option nyingi,lakini pamoja na yote hayo bado mkawa pamoja,sasa kipi kinacho watenganisha leo hii?
Kumbe hua hivi 🥹Na katika umri wa miaka 30 ya ndoa mmezoeana kiasi kwamba kuwa mbali mbali ni vigumu sana,ndio maana wale walio ishi kwa upendo mkubwa utakuta mwenzie akiondoka tu basi mwengine muda si mrefu anafuata,kwasababu huyu aliyebaki ni kana kwamba kapoteza his or her half kwahiyo anakuwa hajakamilika tena
Mi pia najiuliza kama wewe tuKifupi bado sieleweki wanao achana kwa kipindi cha miaka 30+ ya ndoa wamekutwa na nini?
Ndoa inayoshikiliwa na watotoKuachana ni Mzigo kwa watoto! Kutengana kuna uafadhali kwa watoto maana mwisho wa kutengana ni kurudiana ambayo ni ahueni kwa watoto
Upo bia ya ngapi kwani 🤣When she Steel even beyond
Your just my waha.. 😘
Haya lala sasa
Usinifanye nianze usalitiUpo bia ya ngapi kwani 🤣
Halafu ujue nitakupenda.! na sipendi.?Upo bia ya ngapi kwani 🤣
Unamsaliti nani?Usinifanye nianze usaliti
Baasiii kwisha wewe 🤣Halafu ujue nitakupenda.! na sipendi.?
Eeehhh yamekua hayo tena , haya 😂😂😂Acha gubu mtoto wa kiume hivi unajua kutofautisha kuongea mambo ya watu na kujenga mjadala ?
Hovyo kabisa
Unanichokoza makusudi kwanini 😅😅Eeehhh yamekua hayo tena , haya 😂😂😂
Ehehehe...ila kweli, was trying to provoke u makusudically 😄Unanichokoza makusudi kwanini 😅😅
Mimi sio msemaji wa AtheistsKwa hiyo mkuu
Atheist mna wake wawili wawili?
Dah aiseee haina come backMimi sio msemaji wa Atheists
Na mimi nikakupokea kama ulivyokuja 😁Ehehehe...ila kweli, was trying to provoke u makusudically 😄
Bruh umekuwa mkali sana 😆Olewa kwanza wewe ndio uje na majibu