Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

Mwanamke nae ikitokea ameshindwa kuvumilia afanyaje?

Halafu why hii topic mmeigeuza upande mmoja ?
Upande wangu mm hata kama mwanamke ndo kashindwa uvumilivu mm mwanaume inatakiwa nifanye maamuzi magum yale yale ya kumwacha pale nyumbani nimpe space aishi anavyo taka yeye.Kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka ni bora nitokomee huko nikaishi kwa amani.
 
At that age wala watu hawana mda na hizo mali. Yani huenda nina assets zangu na huzijui, nakuacha na nyumba naondoka zangu kwa amani kabisa, muhimu tumelea watoto na kila mtu ana maisha yake, nitakuwa na amani kuliko naondoka nyumbani watoto bado wadogo, sijawajengea kesho yao. It'll be so painful asee.

Mitazamo lazima tutofautiane ndio maana ya dialogues.
Kwani wanaochana painful hawana we sema ndoa itakua baado inavumilika

Hakuna anaependa kulea watoto mbali mbali
 
Hivyo vitu vinavyofanya ndoa iwepo vinakosekana baada ya miaka 30+
Stress za kiafya, hasa zinazohusisha afya ya uzazi na akili, ambazo nyingi hujitokeza uzeeni, zinaweza pelekea kutengana au kuachana uzeeni. Mafanikio pia yanaweza kuwa chanzo: mfano, mmoja wenu kupata cheo au elimu ya juu (e.g. PhD) ghafla ambayo inapelekea mabadiliko makubwa ya kimaisha mkiwa in your mid 40s au 50s, inaweza pelekea mmoja kuanza kumuona mwenzake siyo type yake, hasa kama huyo mwenzake hana hayo mafanikio na ni msumbufu au abusive.
 
Nje kidogo ya mada.

Siku hizi kuna utaratibu umeibuka, unakuta mwanamke au mwanaume akiwa kwenye maandalizi ya kuolewa au kuoa, kwenye zile kamati za maandalizi, mmoja wa wajumbe unakuta aliwahi kuwa ni mwenza wake. Hivi hiyo ni hali ya kuboresha mahusiano mema au moja ya mambo yanayoweza kupelekea ndoa mpya kuingia dosari.

Fikiria ex wa mkeo mtarajiwa ni sehemu ya wanakamati, kitakachoendelea hapo ni nini kama sio hao wawili kukumbushiana migegedo.
Mhmm hii nasikia leo
 
Upande wangu mm hata kama mwanamke ndo kashindwa uvumilivu mm mwanaume inatakiwa nifanye maamuzi magum yale yale ya kumwacha pale nyumbani nimpe space aishi anavyo taka yeye.Kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka ni bora nitokomee huko nikaishi kwa amani.
Mbona nyie ndio mnaongoza kuua
Nikupe takwimu
 
Stress za kiafya, hasa zinazohusisha afya ya uzazi na akili, ambazo nyingi hujitokeza uzeeni, zinaweza pelekea kutengana au kuachana uzeeni. Mafanikio pia yanaweza kuwa chanzo: mfano, mmoja wenu kupata cheo au elimu ya juu (e.g. PhD) ghafla ambayo inapelekea mabadiliko makubwa ya kimaisha mkiwa in your mid 40s au 50s, inaweza pelekea mmoja kuanza kumuona mwenzake siyo type yake, hasa kama huyo mwenzake hana hayo mafanikio na ni msumbufu au abusive.
Inasikitisha sana
 
Ulivyo vyalia sichoki kukuangalia *2

When man spirit still walking.. 🤗

Usiseme ni wivu ni upendo
 
Back
Top Bottom