ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #41
Ndoa +CCM = kuna mambo haya ✌️Kati ya mitihani tulipewa binadamu basi ni ndoa na Tanganyika tukaongezewa na ccm🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Eeeeh Mungu turehemu.
Ndoa +CCM = kuna mambo haya ✌️Kati ya mitihani tulipewa binadamu basi ni ndoa na Tanganyika tukaongezewa na ccm🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Eeeeh Mungu turehemu.
Kwa umri huo, mwanaume bila mali ataishi kwa mateso sanaUnawaza mali tu wewe 😅😅
Unaniambia hivi wewe kama nani ?Mleta mada ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na sio kufuatilia maisha ya watu.
Aloooooo sasa kama mtu alikua na gubu toka mwanzo kwanini usimwache mapema ?Gubu lipo halitumii nguvu ni mdomo zaidi ....unakusqnyiwq makosa yako yoote miaka 25 huko plus watoto hasa wankike wanakuwa washauri wabovu hasa eti kulinda mali....kama wanahisi una watoto au wamamq nje huko....wewe unakuwa umechoka sana gubu na umechoka kujijtetea ndani himaya yako
Aisee na hizo mali ndio sababu watu wanauana ukiacha usalitiKwa umri huo, mwanaume bila mali ataishi kwa mateso sana
amu ze most trastifull hazibendi in ze wedi😊eeeh ndio hivyo vip wewe huchapi njee ?
Ustadh una wake wangapi ?, tumeelew mke mkubwa yupo gobaNimetoka job nikaelekea tabata,now nipo mabibo naelekea sinza,kisha makao makuu ya dar es Salaam Goba
baadae nitarudi kuchangia mada
Kasheshe 🤣amu ze most trastifull hazibendi in ze wedi
Mwanaume akinena mabadiliko hamaanishi kukufanya kiumbe kipya tofauti na vile ulivyoMadiliko yaende sambamba pande zote mbili mtaacha lini ujinga wa kujiona special?
Maneno haya sio mageni jijiniMwanaume akinena mabadiliko hamaanishi kukufanya kiumbe kipya tofauti na vile ulivyo
Ila tuna jicho la ziada kuona wapi mwanamke kakwama na sisi kutumia uwezo wetu binafsi kumtimiliza
Unajipa moyo atabadilikaa......mambo mengi sanaa wanawake wrote mmeumbwa na gubu......tunavumiliaa.....kuna mengine zaidi gubu....cheating ......shirkiii etc mambo ni mengiAloooooo sasa kama mtu alikua na gubu toka mwanzo kwanini usimwache mapema ?
Au gubu kalipata uzeeni?
KapeaceMzee wangu aliniambia jambo moja muhim sana ..Ukikaa na mwanamke ukazaa nae watoto baadae ukaona ni msumbufu habadiliki mwanangu mpishe mwachie kila kitu hapo nyumbani ikiwezekana nenda mkoa mwingine mwache hapo usimpe talaka kaanze maisha mapya huko mbali kumaliza uzee wako salama.Akaongeza mwanangu kua na akiba ambayo mkeo haijui mjulishe ndugu yako unae mwamini sana hata swala kama hilo likatokea unapakushika na kuanza upya.
Ulichoandika yawezekana sio tatizoManeno haya sio mageni jijini
Maneno haya yanakinzana na comment zenu wadau wa humu hasa wewe hapo
Unakumbuka kwenye ule uzi wangu wa kuhusu wanawake kufanyiwa ukatili na kuuawa hukuandika namna hii
kasheshe kweli anKasheshe 🤣
Wote tuna gubu😲Unajipa moyo atabadilikaa......mambo mengi sanaa wanawake wrote mmeumbwa na gubu......tunavumiliaa.....kuna mengine zaidi gubu....cheating ......shirkiii etc mambo ni mengi
Hahahahhaa wanawake wameumbwa na gubu zaidii sanaa wanaume hawataki kelele kbss......ongea once and go......utarudiq mara 20 ili upate reaction utaishia makofiii sasaaWote tuna gubu😲
Hivi gubu lina jinsia?
twende taratibu mkuu
Kuna watu wa karibu nimeshuhudia wakifanya hivyo na wamekua na maisha ya furaha.Pia inasaifia sana km unawatoto wako kwenye ndoa wasiachike na kusimwangwa kwa kuachana kwenu wazeeUnaishi ushauri wake mpaka leo?
Nikwambie kitu mkuu.Ulichoandika yawezekana sio tatizo
Labda chemistry wakati unaandika ndio tatizo
Mimi huwa nafeel chemistry kabla ya content ni shida yangu lakini