Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

Alikosea kidogo kuhusu kutompa talaka

Mwanamke akiwa jeuri na umeshazaa nae mwachie kila kitu na mpe talaka awe huru kuanzisha mahusiano mapya

Nakwambia atatiwa kuni huko lakini hatosahau hakuna malaika kama baba fulani Baada ya kunyooshwa
 
  • Hakikisha mali zote zinasoma majina ya mwanaume​
  • Kwa umri wa uzeeni, mke ata akikukwaza vipi usitoe talaka, tafuta kipoozeo cha pembeni kwa ajili ya kukupa furaha.​
  • Kama una nyumba zaidi ya moja, mnaweza kutengana nyumba tu na si kutoa talaka.​
  • Hii ni kwa afya, ya uzeeni.​
 
Talaka haina umri. Ndoa inavitu vinavyofanya iwepo, vitu hivyo vikiondoka/kuisha ndoa haifanyi kazi. Na hii haitegemei umri wa ndoa husika.
Hivyo vitu vinavyofanya ndoa iwepo vinakosekana baada ya miaka 30+
 
makosa ya zamani ambayo mtu alijipa moyo kuvumilia akidhani mwenza.....pia psychology says unavyokuwa mtu mzima hutaki kelele hizo hizo kila siku.....u need peace na calmness zaidi.....
Naunga mkono hoja
Hayawezi kua makosa mapya

Ila sasa ukiwa mtu mzima si gubu linapungua maana hamna nguvu tena inakuaje tena kelele?
 
Sio kwa miaka hii ambayo nasikia baadhi yenu kimoya kwa mbinde ulimi njeee kama mbwaa anatimua mwizi πŸ˜…πŸ˜…πŸ’”
 
Mabadiliko yaende sambamba pande zote mbili mtaacha lini ujinga wa kujiona special?
 
Naunga mkono hoja
Hayawezi kua makosa mpya

Ila sasa ukiwa mtu mzima si gubu linapungua maana hamna nguvu tena inakuaje tena kelele?
Gubu lipo halitumii nguvu ni mdomo zaidi ....unakusqnyiwq makosa yako yoote miaka 25 huko plus watoto hasa wankike wanakuwa washauri wabovu hasa eti kulinda mali....kama wanahisi una watoto au wamamq nje huko....wewe unakuwa umechoka sana gubu na umechoka kujijtetea ndani himaya yako
 
Unaishi ushauri wake mpaka leo?
 
Unawaza mali tu wewe πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…