Ya kukusaidia yapo jukwaa la siasa na dini... Hapa pana wenyewe.Hivi mambo haya yanatusaidia nini jamani?? Nisaidieni mwenzenu sielewi
Hivi wewe Erickb52, Mwita Maranya hajakudunda bado? Naona unaendelea kunichokoza.
Hehehehe! Nani kama mama? Nimependa 'good for nothing husband' lol . Naja mama kipenzi.Karibu sana mwanetu usiteseke na huyo good for nothing husband
huo mjadala ushafungwa mamaYa kukusaidia yapo jukwaa la siasa na dini... Hapa pana wenyewe.
Umeshaelewa sasa? Hope umepata vya kukusaidia pia humu.huo mjadala ushafungwa mama
We mwenyewe pumba , tena za mtama!
Huyu anatuchora tu
Mi kama matunzo The secretary yuko na mimi tangu amwache Bishanga sina shida ya pesa za ndovu au za kwenda Paris weekend