bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wanaumiaje SI Hela ilisharudi si walikunywa,kula,kulewa na kucheza muzikiHapa wanaoumia zaidi ni wale waliotoa michango mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaumiaje SI Hela ilisharudi si walikunywa,kula,kulewa na kucheza muzikiHapa wanaoumia zaidi ni wale waliotoa michango mkuu
Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.
KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei tatizo ni nini, mwanamke hana nia ya kurudi tena na kaenda kwao!!
Kama watu hawa hawapendani, Je waliwezaje kudumu kwa miaka 8?Je kataa ndoa wana point tuwasikilize 😀?
Ina maana miaka yote 8 ajagongaJamaa atakuwa shoga, aliyejificha kwenye kichaka Cha ubize wa biashara.
Basi bwana.😂Ndo ivo
Mwanamke wa kikristo ukifungana nae TU ndoa akapata cheti anageuka kuwa mwanaume mwenzio kwa maana utii unatoweka.Binafsi nishaona mahusiano mengi mazuri. Watu wanapendana kweli kweli ila wakifunga ndoa tu kanisani. Wanabadilika.
Nina ndoa ya jamaa yangu ilidumu miezi minne tu..huku mahusiano miaka kibao na watoto wamezaa wawili. Ila ndoa tu ilivyofungwa wakaachana
Yaani acha tu.Ukioa au kuolewa utamuona Shetani Live!!
Chanzo cha hao vijana miaka ya nyuma sana walikuwa na mchezo wa kurecord mademu wakifanya nao then wanauza hizo video kweny blog kubwa na mitandao ya porno...Ilikuwa moja hapa bongo ikafungiwa ilikuwa blog kubwa sana.Mhh jamaa wa kariakoo wengi wana siri nzito sana, wachache wanakubali kufanya biashara kwa akili na ujanja wanaishia kukubali shortcut ya uchawi na kuroga ambapo price yake huwa ni mambo yanayoaibisha utu wako. Kuna baba na mtoto pale kkoo ilikua ni mpaka wapigane paipu ndo biashara zinaenda.
Labda mke kajua siri nzito za jamaa sababu ndo si mnakaa karibu zaidi kuliko uchumba, au jamaa aliropoka siri yake.
HahahaTusubiri msajili wa vyama aje
Duuh pesa ngumu sana.Mhh jamaa wa kariakoo wengi wana siri nzito sana, wachache wanakubali kufanya biashara kwa akili na ujanja wanaishia kukubali shortcut ya uchawi na kuroga ambapo price yake huwa ni mambo yanayoaibisha utu wako. Kuna baba na mtoto pale kkoo ilikua ni mpaka wapigane paipu ndo biashara zinaenda.
Labda mke kajua siri nzito za jamaa sababu ndo si mnakaa karibu zaidi kuliko uchumba, au jamaa aliropoka siri yake.
Mwamba ameshitukia bidada ana katabia kamjini ka kulegezwa mikunjo ya 0713Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.
KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei tatizo ni nini, mwanamke hana nia ya kurudi tena na kaenda kwao!!
Kama watu hawa hawapendani, Je waliwezaje kudumu kwa miaka 8?Je kataa ndoa wana point tuwasikilize 😀?
Kwa nje alikuwa humble na hofu ya Mungu ila kwa ndani alikuwa jeuri sana.Sijakuelewa hapo mwisho uligundua nini