Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Kwa nje alikuwa humble na hofu ya Mungu ila kwa ndani alikuwa jeuri sana.

Kwa nje alionekana mtu wa watu kumbe 95 ya hao watu walikuwa wanaume. Wanaweza kumpigia simu hata saa 8 usiku.

Kwa nje nilikuwa namuona simu ipo busy na simu za kazi, kwa ndani niligundua alikuwa na list ya washikaji kwa hiyo simu inakuwa busy ili kuimarisha kampani.

Kwa nje alionekana singo maza aliyekata mawasiliano na mzazi mwenzie, kwa ndani niligundua wanawasiliana mara kwa mara.

Kwa uchache sana. Mwanamke mlazimishe kujua mambo yake ya ndani sana, itakusaidia kufanya maamuzi
Haya maisha ya kukutana mjini sio rahisi ...Mtu kwao ana kesi kibao ila mmekutana hapa Dar ...Wapo wanawake vijijini wameacha watoto kwa bibi zao wapo town hapa kujitafuta.
 
Haya maisha ya kukutana mjini sio rahisi ...Mtu kwao ana kesi kibao ila mmekutana hapa Dar ...Wapo wanawake vijijini wameacha watoto kwa bibi zao wapo town hapa kujitafuta.
Kumbuka unaenda kubeba zigo kwa miaka mingi sana. Unashindwaje kuwekeza kujua hayo? Kwa utandawazi huu unashindwa kuyajua ya kwao?
 
Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.

KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei tatizo ni nini, mwanamke hana nia ya kurudi tena na kaenda kwao!!

Kama watu hawa hawapendani, Je waliwezaje kudumu kwa miaka 8?Je kataa ndoa wana point tuwasikilize 😀?
Mwanaume angetaka mwanamke akakataa siri ingesemwa, ila kama mwanaume katelezeshewa akachomoa mke akataka aendelee mume akakataa lazima mke akimbie na hatasema. Wanaume siyo waropokaji wanakufa na tai shingoni.
 
Nina story inataka kufanana na yako. Bonge la harusi, bonge la ukumbi, bonge la promo, mapichapicha, bonge la honeymoon, mc wa kiwango, bibi harusi ni mzuri sana pisikali mweupe ana shepu namba 8 ya tako kubwa anawaka kweli kweli.

Ndoa waliachana kabla ya mwaka, Ila chanzo cha kuachana ndani ya muda mfupi kilijulikana baadae, ni kuwa. Kuna watu walimtumia bwana harusi sextape mbalimbali za bibi harusi kwenye dm ya Instagram ya bwana harusi (watu walimtag ili kumpongeza kwenye comments kwenye page ya MC). Video za miamba mbalimbali ikimpiga bonge la pipe "bibi harusi", tena kwa kuchanganyachanganya mbele na nyuma, nyuma mbele, mbele nyuma, nyuma mbele, wakimmwagia maBAO mazitomazito.

Kumbe yule bibi harusi, alikuwa type ya semibitch. Yaani alikuwa ni mdangaji wa chini kwa chini, Indirect Dangaring. Kumbe wateja walikuwa wanamrecord yeye bila kujua akiwa amelewa.

Ndoa iliyeyuka kabla la mwaka.
Mariam Birian
 
Eti bonge la paipu nyuma na mbele mabao mazito mazito, acha hizo mkuu.
 
Back
Top Bottom