Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?


Binafsi nishaona mahusiano mengi mazuri. Watu wanapendana kweli kweli ila wakifunga ndoa tu kanisani. Wanabadilika.

Nina ndoa ya jamaa yangu ilidumu miezi minne tu..huku mahusiano miaka kibao na watoto wamezaa wawili. Ila ndoa tu ilivyofungwa wakaachana
 
Mwanamke wa kikristo ukifungana nae TU ndoa akapata cheti anageuka kuwa mwanaume mwenzio kwa maana utii unatoweka.
Thus unaweza ishi nae Kwa amani kwa uchumba sugu.
Pili harusi zina mengi waswahili utupia Yao kupitia zawadi
 
Chanzo cha hao vijana miaka ya nyuma sana walikuwa na mchezo wa kurecord mademu wakifanya nao then wanauza hizo video kweny blog kubwa na mitandao ya porno...Ilikuwa moja hapa bongo ikafungiwa ilikuwa blog kubwa sana.

Watu wanauza mpake nje ila wanaona wazungu tu .Hii michezo ipo sana na biashara wanafanya hawa madon wanavuta pesa ndefu demu akipewa laki 6 anafanyiwa ujinga bila kujijua.
 
Duuh pesa ngumu sana.
 
Mwamba ameshitukia bidada ana katabia kamjini ka kulegezwa mikunjo ya 0713
 
Sijakuelewa hapo mwisho uligundua nini
Kwa nje alikuwa humble na hofu ya Mungu ila kwa ndani alikuwa jeuri sana.

Kwa nje alionekana mtu wa watu kumbe 95 ya hao watu walikuwa wanaume. Wanaweza kumpigia simu hata saa 8 usiku.

Kwa nje nilikuwa namuona simu ipo busy na simu za kazi, kwa ndani niligundua alikuwa na list ya washikaji kwa hiyo simu inakuwa busy ili kuimarisha kampani.

Kwa nje alionekana singo maza aliyekata mawasiliano na mzazi mwenzie, kwa ndani niligundua wanawasiliana mara kwa mara.

Kwa uchache sana. Mwanamke mlazimishe kujua mambo yake ya ndani sana, itakusaidia kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…