Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Haya maisha ya kukutana mjini sio rahisi ...Mtu kwao ana kesi kibao ila mmekutana hapa Dar ...Wapo wanawake vijijini wameacha watoto kwa bibi zao wapo town hapa kujitafuta.
 
Haya maisha ya kukutana mjini sio rahisi ...Mtu kwao ana kesi kibao ila mmekutana hapa Dar ...Wapo wanawake vijijini wameacha watoto kwa bibi zao wapo town hapa kujitafuta.
Kumbuka unaenda kubeba zigo kwa miaka mingi sana. Unashindwaje kuwekeza kujua hayo? Kwa utandawazi huu unashindwa kuyajua ya kwao?
 
Mwanaume angetaka mwanamke akakataa siri ingesemwa, ila kama mwanaume katelezeshewa akachomoa mke akataka aendelee mume akakataa lazima mke akimbie na hatasema. Wanaume siyo waropokaji wanakufa na tai shingoni.
 
Mariam Birian
 
Eti bonge la paipu nyuma na mbele mabao mazito mazito, acha hizo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…