Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ndoano.

Ile miaka 8 ilikuwa mahusiano ya hiari.

Ndiyo maana wamedumu muda wote huo.

Kwenye ndoa ni mahusiano ya lazima. Huyu ni mke wangu, nimemuoa. Nimemtolea mahari. Nimemnunua. Hili jiko langu.

Ndiyo maana miezi miwili tu, kwishney.
kama ungeendelea kidogo kuelezea, Maana kitu ukikimiliki unakuwa na amani zaidi na kukishikiria au vice versa is true ?
 
Hivi huko mbele kwenye Quotes na Comments hakuna aliuliza namna ya upatikanaji wa hizo video za huyo dada ?
 
Hawajawahi zaa ndani ya mahusiano?

Mwamba ndani ya ndoa amerutubisha yai kwa mkewe kwenye jiko?

kama hayo juu yamefanyika ,basi shemela ,kakimbia kulisha misukule
 
Halafu bwana harusi katoa mahari mamilioni kumbe kuna wana washakula mbele na nyuma.

Yani bwana harusi kanunua skrepa kwa bei ghaliii...

Ahhhh!!! Ndoa ni utapeli mahari ni Utapeli.
 
Na isitoshe jamaa kalipa mahari mamilioni kununua bomu lililo mlipukia.
 
Mafukara wengi wana mtizamo kama huu.Imani hii imejengeka sana miongoni mwa maskini wa akili na mali.
 
Mkuu somo la tofauti ya feminine na feminist please
 
Unakaa ndani na bomu linalokulia timing AKA "kunguru hafugiki"

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…