Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

Ooh! Kumbe bado kuondoka na kurudi sio dawa alipaswa abaki na achukue maamuzi. Si ndio?
Ah kwenda na kurudi muhimu maana alikuwa anaenda kupanga mikakati.

Mbona ata mie nilienda kwanza kwa mchepuko alafu alivyonipa maarifa ndio nikarudi kumfukuza yeye na mtoto
 
Ooh! Kumbe bado kuondoka na kurudi sio dawa alipaswa abaki na achukue maamuzi. Si ndio?
huwa kuna maamuzi yanaweza kujitokeza(kutokana na hasira) pasipo kutegea ambayo mwisho wake ni majuto kama utaendelea kukaa pale pale eneo la tukio.
 
Ah kwenda na kurudi muhimu maana alikuwa anaenda kupanga mikakati.

Mbona ata mie nilienda kwanza kwa mchepuko alafu alivyonipa maarifa ndio nikarudi kumfukuza yeye na mtoto
Mmh.
 
Ukienda ustawi wa jamii kwa kigezo cha kupima DNA kisa kutaka tu kujua uhalali wa mtoto matokeo hayatakuwa ya ukweli hata kama sio utaambiwa ndiyo.Cha kufanya mpange mshkaji wako mjifanye mnagombania huyo mtoto kila mmoja aseme ni wake kisha mpimwe wote.Hapo ukweli utajulikana
 
Huwezi kubaki hapo ndani kwa wakati huo maana ile mchanganyiko wa shock hasira plus ile kumbukumbu ya kuwa aliirudisha de libolo kunako mbususu ilivyochomoka unaweza kuua mtu.

Vyema kwanza ukatulie mbali wakati unapanga maamuzi magumu....ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni
 
Tuishi kwa imani kama TUNAPOMLA BATA TUNAVYOAMINI KUWA SIO MCHAFU
 
Mkuu mbona umeandika kwa ghadhabu sana? Hivi ingekuwa wanaume ndiyo wanabeba mimba, hahaahah sipati picha hao watoto wangechanganywaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana hatubebi mimba so wanaobeba wanazingua sana. Watoto wengi hata wa kwenye ndoa sio wa mine aliyeoa nakuambia.

Wanawake ni Malaya sana kushinda unavyodhani, we angalia unavyoweza kumla mwanamke kwenigari, ofisini au chooni Yani kwanza mie binafsi Nina watoto watatu ambao wanawake waliniambia kabisa ni wangu Ila wapo kwenye ndoa na anasema wazi siitoi hii no Zawadi wlyangu umenipa.

Mzee achana kuamini these daughters of Jezebel
 
Wanawake ni washenzi sana sema wao ubaya wote wanautupia kwa mwanaume baada ya reaction ya mwanaume ili waonekane innocent.

We jiulize Hawa wanawake tunaokula kila siku na Wana mabwana zao Ila wakikaa utadhani hawapanuliwi Hadi makalio.

Shenzi sana jamaa apime DNA mambo ya kitanda hakizai haramu huo ni ufala wa wanaume wa zamani

Heri kama nijue kabisa kwamba sina uwezo wa kuzalisha ila sio kutunza shahawa za mwanaume mwenzangu na mwanamke anakung'ong'a tu eti anakuwekea heshima, yaani heshima ipi? Ngoja siku umzingue na mtoto ameshakua umeshamsaidia kusomesha utaipata fresh.

Men should stop entertaining these daughters of Jezebel.
DNA haina ishu babuu... Hakuna DNA ambayo iko tayari kumuacha mtoto bila baba ama mama kukosa ndoa... Na ndo maana kuna hatua ndefu sana mpaka kupata vipimo vya DNA
 
Mhhh nn mkuu [emoji4]
hio soma kwa hisia.ndio najaribu kutafakari hiv mmeo akikuletea mwanamke mjamzito msaidie kwa kisingizio ni ndugu yake mkaishi nae had akajifungua mwisho wa siku ukagundua sio ndugu yake bali ni mchepuko utajisikiaje na ww?
 
Duh Bora iwe hvo migogoro ya ndoa hapana



Hapana,

Wanapaswa ku observe honesty katika kutoa majibu.

Dhambi kubwa sana kusema uongo.

Inamaana hao watoa majibu hawajui nini maana ya maadili ya kazi ?

Kama wanafanya hivyo wanakosea sana.
 
hio soma kwa hisia.ndio najaribu kutafakari hiv mmeo akikuletea mwanamke mjamzito msaidie kwa kisingizio ni ndugu yake mkaishi nae had akajifungua mwisho wa siku ukagundua sio ndugu yake bali ni mchepuko utajisikiaje na ww?
Mkuu ningekua na uwezo ningekupa namba ya x wangu mmja na namba ya shemeji ako umuulizee ni mwanamke wa aina gani
 
Back
Top Bottom