Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ooh! Kumbe bado kuondoka na kurudi sio dawa alipaswa abaki na achukue maamuzi. Si ndio?Mie nilifukuza mtoto na mama yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh! Kumbe bado kuondoka na kurudi sio dawa alipaswa abaki na achukue maamuzi. Si ndio?Mie nilifukuza mtoto na mama yake
mmmh!?Soma kwa hisia ukiwa umetulia
Ah kwenda na kurudi muhimu maana alikuwa anaenda kupanga mikakati.Ooh! Kumbe bado kuondoka na kurudi sio dawa alipaswa abaki na achukue maamuzi. Si ndio?
huwa kuna maamuzi yanaweza kujitokeza(kutokana na hasira) pasipo kutegea ambayo mwisho wake ni majuto kama utaendelea kukaa pale pale eneo la tukio.Ooh! Kumbe bado kuondoka na kurudi sio dawa alipaswa abaki na achukue maamuzi. Si ndio?
Mmh.Ah kwenda na kurudi muhimu maana alikuwa anaenda kupanga mikakati.
Mbona ata mie nilienda kwanza kwa mchepuko alafu alivyonipa maarifa ndio nikarudi kumfukuza yeye na mtoto
Sio rahisi kihivyoHuyo nae si akachukue unywele hako katoto kisha akapime bila kujua mama mtu.
Huwezi kubaki hapo ndani kwa wakati huo maana ile mchanganyiko wa shock hasira plus ile kumbukumbu ya kuwa aliirudisha de libolo kunako mbususu ilivyochomoka unaweza kuua mtu.Mmh.
pole sana mmwanza mmwanza mwenzanguAyaja kukuta ww... Yakikukuta utajikuta wodi ya vichaa..... Sikia kwa hadithi na simulizi sio nyumbani kwako
Ndio maana hatubebi mimba so wanaobeba wanazingua sana. Watoto wengi hata wa kwenye ndoa sio wa mine aliyeoa nakuambia.Mkuu mbona umeandika kwa ghadhabu sana? Hivi ingekuwa wanaume ndiyo wanabeba mimba, hahaahah sipati picha hao watoto wangechanganywaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhh nn mkuu [emoji4]mmmh!?
Asante mkuupole sana mmwanza mmwanza mwenzangu
DNA haina ishu babuu... Hakuna DNA ambayo iko tayari kumuacha mtoto bila baba ama mama kukosa ndoa... Na ndo maana kuna hatua ndefu sana mpaka kupata vipimo vya DNAWanawake ni washenzi sana sema wao ubaya wote wanautupia kwa mwanaume baada ya reaction ya mwanaume ili waonekane innocent.
We jiulize Hawa wanawake tunaokula kila siku na Wana mabwana zao Ila wakikaa utadhani hawapanuliwi Hadi makalio.
Shenzi sana jamaa apime DNA mambo ya kitanda hakizai haramu huo ni ufala wa wanaume wa zamani
Heri kama nijue kabisa kwamba sina uwezo wa kuzalisha ila sio kutunza shahawa za mwanaume mwenzangu na mwanamke anakung'ong'a tu eti anakuwekea heshima, yaani heshima ipi? Ngoja siku umzingue na mtoto ameshakua umeshamsaidia kusomesha utaipata fresh.
Men should stop entertaining these daughters of Jezebel.
hio soma kwa hisia.ndio najaribu kutafakari hiv mmeo akikuletea mwanamke mjamzito msaidie kwa kisingizio ni ndugu yake mkaishi nae had akajifungua mwisho wa siku ukagundua sio ndugu yake bali ni mchepuko utajisikiaje na ww?Mhhh nn mkuu [emoji4]
Duh Bora iwe hvo migogoro ya ndoa hapana
Duh Bora iwe hvo migogoro ya ndoa hapana
Mkuu ningekua na uwezo ningekupa namba ya x wangu mmja na namba ya shemeji ako umuulizee ni mwanamke wa aina ganihio soma kwa hisia.ndio najaribu kutafakari hiv mmeo akikuletea mwanamke mjamzito msaidie kwa kisingizio ni ndugu yake mkaishi nae had akajifungua mwisho wa siku ukagundua sio ndugu yake bali ni mchepuko utajisikiaje na ww?
Hapo sasa kipengeleMigogoro ya ndoa inaweza kutokea Kwa namna mbalimbali na tofauti ni bora wawe waaminifu katika kutoa majibu kwa kusema ukweli halisi.