Ndoa yangu changa inataka kuniua

Nyongeza.
Usimshirikishe mambo yako ya kifedha.maana tabia yake ndo hivo.
Kuwa msiri,jifanye uko broke,usishee kadi ya ATM ama namba za mpeaa nk.mpaka atapobadilika labda.
Mkuu tangia awali hatuwahi share hizi vitu, maana kwa jinsi mambo yanavyoenda ningeshakuwa kichaa sasa hivi kama angekua na access hiyo.
 
issue hapa tuna-comment based on one side...kujua upande wa pili ndio dili
Ni kweli mkuu information ni one sided, Ila ni kuhakikishie kuwa mahitaji muhimu yote anapata. Mpaka vifurushi vya uhakika vya simu kwa mwezi. Kwenye upande wa hela hata nimpe mapato yote ya mwezi na uhakika bado sitamridhisha
 
Ni kweli mkuu information ni one sided, Ila ni kuhakikishie kuwa mahitaji muhimu yote anapata. Mpaka vifurushi vya uhakika vya simu kwa mwezi. Kwenye upande wa hela hata nimpe mapato yote ya mwezi na uhakika bado sitamridhisha

Vigezo vyako vya kupata mke bora vilikuwaje?

Wakongwe vigezo vyetu
Age
Beauty
Character
D
Education
Figure
G
Height
I
J
.
.
.
Z

Ushauri wangu, rejea vigezo vyako vya mke bora. Kama hatoshi mpandishe cheo!

Huna sababu ya kuhuzunika, unless she finances relationship.

Nikutakie kila la heri!
 
Asante sana mkuu,
Kwa muda na ushauri wako. Sasa nafikiri najua chakufanya leo
 
Daah hii dunia haina wema Yarabi. Yaani unaishi na mwanamke mwizi jambazi!! Kwani hauoni kuwa kinachofuatia kukutoa roho wewe. Mrudishe kwao ukiwa na ushahidi kamili. Kuna watu wanajidanganya sana kuhusu hizi ndoa yaani mimi huyo hata kama tungefunga ndoa mbele ya uwepo wa mungu mwenyewe live ningemuacha. Piga chini mtoto atakuwa tu huyo.
 
Hawa wanawake wa ovyo mnakutana nao wapi,???achana nae, fanya mambo yako.
 
ingekua ni shida tuu ningekushauri umfungulie biashara lakini huyo inaelekea wizi ni tabia yake,mkuu usitafute maneno ya kuremba humu..mrudishe kwao
 
Yaani ukiendelea kuishi na huyu mwanamke ujiandae Kwa yafuatayo:

1. Kuishi maisha ya uchungu na msongo wa mawazo maisha yako yote.
2. Kupata magonjwa makubwa kama kichaa, moyo, sukari, auto immune disorder, yaani taja magonjwa yote hatari.

3. Utajiua

4. Utamuua na wewe kujiua au kuua na watoto

5. Kumua yeye na utanyongwa uache mtoto akiteseka.

6. Kutalikiana ukiwa umeshapata madhara ya kiafya na utashindwa maisha.

7. Ongezeeni mengine

Kifupi ulioa mwizi na siyo mke. Ana tamaa na siku ukikosa vya kuibiwa jiandae ataiba huko nje ikiwemo kujiuza.

Talikiana naye mapema kabla hamjajijenga Sana.
Hizo Tabia ni sugu hatawesa kuzuiacha. Mpaka anaiba sadaka hiyo ni laana.

Kwa maisha yako ya furaha na mtoto wako mwache na ninakushauri upate ushahidi kwa kumrekodi bila kujua na kumwambia akiri makosa kwa maandishi ili uvitumie mahakamani upate full custody ya mtoto. Hizo Tabia hawezi kulea kwa maadili mtoto na mahakama itamnyang'anya mtoto upewe.

Nimesikitika mno. Pole nyingi mno.
 
Atakuwa ana ukichaa chunguza vizuri, yupp mmoja namfahamu kichwa chake hakiko vizuri ana tabia za udokozi wa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…