Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Malaya ndio hapendi mwanaume bila posho πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila mwanamke anaejielewa anajua shida ni mambo ya kupita tu
 
Si tulikubaliana ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye kaili tu!!

Mkuu kama ulikosea komaa na hilo chaguo lako umnyooshe hadi kieleweke. Usikimbie matatizo uliojisababishia.
🀣 Ila we mtoto ni fala sana, kwahio asikimbie matatizo yake apambane nayo 🀣 hii ni statement ya nguvu sana leo.
 
Hivi kwanini wanaume wapumbavu hampungui?. Unashindwa kuacha huyo Shetani unayemuita mkeo Kisa mtoto?
Nakushauri jinyonge tu hili upunguze idadi ya wanaume wapumbavu.
 
Mi nikiwashauri wadogo zangu hakikisha mke unayemuoa anaweza kutoa hela yake bila kulalamika akakupa ukiwa na shida bila kuwekelea hesabu. Maana kuna wengine anakuhesabia ati nilikupa kiasi flani urudishe.

Nawewe utakuwa unampa zako wakati unazo ili afurahie mnaishi namna hio. Hakika utakuwa umejipatia life partner ikiwa una mwanamke wa aina hio.

Mwanamke mchungu atakuwa shubiri siku hata umelazwa kitandani na bill anakuletea hapo hapo kitandani bila aibu. Atakufedheesha mno.
 
Mtoto bado ni mdogo... ana haki ya kuishi na Mama mpaka atakapoamua au kufikisha umri wa yeye kufanya maamuzi.

swala la ndoa au mapenzi halishauriwi. Unaweza kushauri kesho na keshokutwa watu wako pamoja. Utajiona mjinga na mpumbavu wewe uliopambania kutoa ushauri na kuingilia kati.

Akili kichwani mwako.
 
Shida na raha.
Raha mtakula wote shida utakula pekee yako, ukilielewa hili wanawake hawatokuumiza kichwa
 
Akirudi mke ana mimba ya bahasha mwengine
 
Umeongea ukweli kabisa
 
Tukushauri hadi kuwa na nyumba ndogo au?
 
Hivi kwanini wanaume wapumbavu hampungui?. Unashindwa kuacha huyo Shetani unayemuita mkeo Kisa mtoto?
Nakushauri jinyonge tu hili upunguze idadi ya wanaume wapumbavu.
Ila upumbavu wangu hauzidi wa kwako[emoji57]
 
Pumba tu[emoji38] hakuna mwanaume mwenye mamlaka then akawa lofa kwa mkewe hayupooooooo. Azawais ubadilishe statement yako.
Hivi unaelewa maana ya mamlaka kwanza?[emoji848]
Mamlaka ni mtonyo, hivi unaweza kukoroma na huna hata buku mfukoni🀣???
 
Nimetoa tahadhari ili mchukue hatua siko hapa kushindana na mtu, heshima ya mwanaume inakanyagwa vilivyo huku mtaani,
Hii inakwenda sambamba na thamani ya mwanamke kushuka mara milioni mia zaidi ya heshima ya mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…