Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Bro, kila ukiandika hiki kisa nikakisoma huwa nahuzunika sana. Sijui tatizo lilikuwa nini, ila Allah awape mbadala wa kheri zaidi kila mmoja wenu.
Pole Sana mkuu Kwa kuguswa na hili Jambo.
Ila ukiwa sehemu ya wasomaji ambao bado mnaguswa Kwa namna moja ama nyingine,ngoja nikupe update kidogo.

Katika Uzi ule kama unakumbuka vizur ilifahamika kuwa sina nguvu za kiume lakini kiuhalisia Niko vizur Tu,Ila kwakuwa sikuwa na hisia nae nikashindwa kutimiza haki ya ndoa kwake kama ipasavyo na hivyo nikaona Busara nivunje mkataba.

Akaniambia nikipona nimrudie tuishi pamoja tena, sasa kwakuwa tuna watoto pamoja huwa tunawasiliana kama wazazi,kwahiyo nikaona sio Busara nimfiche status yangu ya sasa hivi,nikamwambia kuwa Nina mtoto na mwanamke mwingine na ninataka kumuoa,akasema basi huyo ndo atakuwa ndo mwanamke wako haswa, nikamwambia ningependa tuwe pamoja na wewe pia kulea watoto wetu.

Akaniambia kama ningekuwa mwenyewe Tu sina mtu mwingine ingekuwa hakuna shida yeye kurudi tena kwangu lakini maadam kuna mtu mwingine itakuwa vigumu kwake kurudi kwangu.

Nikamwambia anyways kama ukibadilisha mawazo yako unakaribishwa tuwe pamoja tena coz Dini yangu inaruhusu.

Ila nadhani yupo 50/50 so lolote laweza tokea,kubwa Kwa upande wangu nimekuwa muwazi kwake na nimemueleza kile ambacho naona ni sahihi.

Ni hayo Tu mkuu Baljurashi
 
Ni mchepuko wako, anasema we una magoma mengi umemshinda tabia 😂

Si member rasmi wa jf, ni mpita njia tu
Shukrani kaka.
Unaweza sema mpita njia kumbe ndio mimi nilikuja na id yangu nyingine😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom