Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Sasa uliotukata ulituahidi kuwa utatufikiria, vipi bado tu?
Vuta subira, usivute bangi πŸ˜‚πŸ˜‚, chujio liliharibika, nasubiri litoke Japan tuendelee na mchujo πŸ˜‚
 
Shukrani
Mashaallah,
Furaha yako ya kupata mtoto isiwe kichocheo cha usahaulifu wa majukumu na wajibu kama mkuu wa familia.

Mtunze mwanao, mtunze mke wako, watunze wazazi wako kama bado wapo hai.
Shukrani mzee
 
Weeeh!! Kuna mchujo tena😳😳😳😳
Upo, kwani huyu si ni wa kwanza na dini inaruhusu zaidi ya mmoja, we kama unataka
kwenye foleni, mmoja ndio mpango,
πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kumbe haya mambo yako real namna hii humu

My wetu Depal usipuuze hisia zako,pata kaHB kako kamoja kule lav konekti 🀣

makaveli10 nakuombea baraka zote katika uzao na love life yako,upendo na amani vitawale
Ninong'oneze basi ID ya mama kichanga πŸ™ˆ
 
AMIN JOANAH
Shukrani kwa dua zako njema

Hana akaunti humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…