Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Aaah wewe hata usihangaike. Subiri subiri ufikishe 46 ndio uoe. Kwasasa utamtesa tu mtoto wa watu.
😒😒😒 Kwanza unafikiri hata yupo wa kunikubaria humu, mwanamke gani atanikubali au kunitaka mtu kama mie.. nishakubali matokeo mie naishi hivi hivi siku nikizeeka ntakaa kambi za wazee
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama

Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVAS😂🤣

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Hongera sana mwamba, kwa kuwa ni baharia mpe jina "Rikiboy" kumuenzi mjumbe
 
AKILI IKO HOVAS[emoji23][emoji1787]

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke

kumbuka na mataizo maana mtoto katoka JF
 
Hongera sana mwamba, kwa kuwa ni baharia mpe jina "Rikiboy" kumuenzi mjumbe
Aaahh.. Ale mabinti za watu kimasihara!! Kutokana nimestaafu, sitaki apitie maseke yangu, kimasihara ndio ilimleta dada yae duniani 🤣😂.. Niko kidato cha 6 kimasihara akazaliwa kaylah. 😂
 
Hongera mkuu kwa hyo leo haupo kwenye Uzi wetu wa FIFA

Bas mtot mpe jina la mchezaji aliyekukosha [emoji41]
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama

Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVAS[emoji23][emoji1787]

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Hongera sana mkuu.

Muumba awakuzie kijana wenu katika maadili yanayompendeza.
 
😒😒😒 Kwanza unafikiri hata yupo wa kunikubaria humu, mwanamke gani atanikubali au kunitaka mtu kama mie.. nishakubali matokeo mie naishi hivi hivi siku nikizeeka ntakaa kambi za wazee
Hamna bwana, mbona mimi nakukubali sana dogo🤣🤣🤣
Ngoja tukupe Makiwendo akulee.
 
Back
Top Bottom