Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Mwamba hongera Sana Kwa kupata mke Jf na mtoto pia

Na Leo ndio nimesoma Uzi wako wa kutafuta mke, Mashallah nimependa maelezo yako juu ya kesho yako na kutambua duniani hapa tunapita Tu

Mungu awajalie mwisho mwema wewe na mkeo na kubwa zaidi mdumu katika ibada

Haya mambo ya mitandaoni yanawezekana Sana tatizo watu wanachukulia poa Tu.

Ngoja nimtafute kipenz changu To yeye pm akikubali kubadilisha Dini tunayajenga 🤣🤣
😂😂😂😂....mi napiga wanaume...onhoo! But asante kwa kujali💋
 
Hongera mkuu kwa hyo leo haupo kwenye Uzi wetu wa FIFA

Bas mtot mpe jina la mchezaji aliyekukosha [emoji41]
Mchezaji aliyeukamata moyo wangu haswaa ni thierry Henry kichogo, ila mimi ndio muislam, kisha Zidane, kisha clatous chama, halafu wa mwisho ni mimo baba yake 😂 🤣
 
Hongera sana Kaveli, hivi mpaka ndugu yangu anapata mke, mimi sijui kabisa, uzi huo wa kumtafuta na kumpata ndio nimeupitia saa hii...

Kila lenye heri ndugu, na hongera tena kwa kupata mtoto.
Ahsante ndugu yangu.
Tatizo Jf ina vichochoro vingi kuliko hata Kinondoni, hivyo kuona wakati mwingine inakuwa si rahisi.
 
Hongera sana Kaveli, hivi mpaka ndugu yangu anapata mke, mimi sijui kabisa, uzi huo wa kumtafuta na kumpata ndio nimeupitia saa hii...

Kila lenye heri ndugu, na hongera tena kwa kupata mtoto.
Ahsante ndugu yangu.
Tatizo Jf ina vichochoro vingi kuliko hata Kinondoni, hivyo kuona wakati mwingine inakuwa si rahisi
 
Mwamba hongera Sana Kwa kupata mke Jf na mtoto pia

Na Leo ndio nimesoma Uzi wako wa kutafuta mke, Mashallah nimependa maelezo yako juu ya kesho yako na kutambua duniani hapa tunapita Tu

Mungu awajalie mwisho mwema wewe na mkeo na kubwa zaidi mdumu katika ibada

Haya mambo ya mitandaoni yanawezekana Sana tatizo watu wanachukulia poa Tu.

Ngoja nimtafute kipenz changu To yeye pm akikubali kubadilisha Dini tunayajenga 🤣🤣
Shukrani kaka.
Amin kwa duwa yako njema, atupe mwisho mwema sote.

Kwa To yeye mie nitakuwa mshenga
 
Back
Top Bottom