makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #101
Hahaa, kwa kiadi fulani, comments zangu huwa zinareflect maisha yangu ya nyuma, akili zangu na vitu vingi (masihara pia, napemda utani)ajabu ipo kwako kidogo, komenti zako zinakuwaga za kitupaki ni ngumu kujua kama wewe ni ustadhi mzuri tu na una mke na mtoto sasa 😂
kwa jamii forums kupata mke si ajabu kwani naamin jamii forums ni kama kioo kinareflect unachofanya, ukileta mzaha wadau wanareflect kimzaha mzaha, ukiwa serious mambo yatanakuwa serious kweli.
Acha nirudie tena.. Kumbe jf kweli ni kisima cha mafanikio 😂
alafu kumbe mshua na wewe ni wa buza!
Kwani kuna sehemu nimeandika natokea buza 🤔