Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Jibu kwa kimombo, huyo binti hajasoma shule za kayumba.... Eboh!
Nimeandika kama mara 3 nafuta, nikaona isiwe tabu nikakimbilia polisi kwenye lugha ya mama.

Hebu nijibie mjomba.

Thank you cocochanel akiongeza neno hapo, utachati nae wewe si unajua sisi darasa la 7 C, is the, is the zinatupiga vyenga πŸ˜‚
 
Hongera Mkuu
Mimi pia nimeamua kuchukua maamuzi magumu japo njia yangu sio ya mtandaoni.
Sababu zangu za kuamua kufanya hivi zinafanana na zako kwa asilimia kubwa.
Ndio nimeanza mchakato nikifanikiwa nitaleta uzi kabisa.
 
Back
Top Bottom