Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Nimepitia bandiko lako, ambalo uliweka kwa ajiri ya kupata mwenza, uandishi wako ulikuwa safi sana..

mzabzab mwanawane fanya ukopi desa la mwana utundike tena danya ku edit vitu kadhaaa.. Lazima upate..
C.c mjumbe Mzee wa kupambania

Tuchukueni huu udesa [emoji28][emoji28]

Natafuta mke
Jamaa alileta bandiko lake Serious Sana,
Ukilisoma unajua kabisa huyu sio makaveli wa siku zote[emoji4]
 
Amin Amin mkuu
Imekaa poa Sana ukiwa Mshenga pale Kati.

Binafsi natoa ushuhuda nilimpata mke Facebook katika group la Dini,tena hakuwa mtu wa Dini Sana na hata vaa yake hakuwa mtu wa kujistiri na alikuwa hajui mambo ya Dini.

Lakini nilimbadilisha akawa anajistiri na akawa anafanya ibada na tulidumu katika ndoa miaka Saba (7) na tumejaaliwa watoto wawili ingawa nimemuacha hakuna Baya lolote wala hakuwahi kunivunjia heshima Ila sikumpenda kivile nilivyotakiwa kumpenda (hakukuwa na chemistry)

Ninachojaribu kusema humu mitandaoni wapo watu Makini na wema na wenye Imani,ukiwa serious utampata mtu serious na mnaweza kujenga maisha pamoja.

Nawatakia kila la kheri wale wote wenye Nia njema wapate watu sahihi na hatimaye waishi pamoja kama wewe mkuu
Amin 🙏
 
Jamaa alileta bandiko lake Serious Sana,
Ukilisoma unajua kabisa huyu sio makaveli wa siku zote[emoji4]
Sipo kama nilivyo haimaanishi niko tofauti, 😂

Ielewe mitaa fid q.
 
Back
Top Bottom