Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Hongera sana mwamba, kwa kuwa ni baharia mpe jina "Rikiboy" kumuenzi mjumbe
 

kumbuka na mataizo maana mtoto katoka JF
 
Hongera sana mwamba, kwa kuwa ni baharia mpe jina "Rikiboy" kumuenzi mjumbe
Aaahh.. Ale mabinti za watu kimasihara!! Kutokana nimestaafu, sitaki apitie maseke yangu, kimasihara ndio ilimleta dada yae duniani πŸ€£πŸ˜‚.. Niko kidato cha 6 kimasihara akazaliwa kaylah. πŸ˜‚
 
Hongera mkuu kwa hyo leo haupo kwenye Uzi wetu wa FIFA

Bas mtot mpe jina la mchezaji aliyekukosha [emoji41]
 
Hongera sana mkuu.

Muumba awakuzie kijana wenu katika maadili yanayompendeza.
 
πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’ Kwanza unafikiri hata yupo wa kunikubaria humu, mwanamke gani atanikubali au kunitaka mtu kama mie.. nishakubali matokeo mie naishi hivi hivi siku nikizeeka ntakaa kambi za wazee
Hamna bwana, mbona mimi nakukubali sana dogo🀣🀣🀣
Ngoja tukupe Makiwendo akulee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…