Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Hahaa, kwa kiadi fulani, comments zangu huwa zinareflect maisha yangu ya nyuma, akili zangu na vitu vingi (masihara pia, napemda utani)

Kwani kuna sehemu nimeandika natokea buza πŸ€”
 
Hongera sana sana Kaveli,
Mungu akawatunze daima..!!

Depal na Darlin mmeamini miracles do still exist eeh'..!? Acheni kunisumbua kwamba hakuna watu...!

Bufa una neno lolote la nyongeza hapa..!??
Mr right wako every whereeee 😍 ngoja nikae vizuri hapa naweza patamo ka HB kamoja πŸ˜‚

Fungueni PM hizo my zanguu jamani tushonae sareee
Darlin
Lenie
Joanah
Carleen

Mkuu Makaveli, mimi na my zangu tunakutakia kila la Kheri katika familia yako.. anko wetu akuzwe katika kimo na afya njema na ampendeze Mungu na wanadamu.
 
Hongera ndugu, siku zote jitihada hazizidi kudra. Mungu azidi kuwajalia heri na na baraka, kwa namna hiyo hio alivyo wakutanisha ki miujiza.
 
Nashukuru saana, dua zako zipokelewe umenisaidia kuita aunt zake wachache, ngoja niwaongeze wakuje
reymage Maya Angelou
Angel Nylon
 
Weee wacha nifungue pm, Mungu anaweza kunionekania na mie nije kutoa ushuhuda hapa siku za usoni πŸ˜… .

makaveli10 hongera sana mkuu
 
Mungu awabariki sana na kuwa jaalia kila yaliyo mema ktk familia yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…